Natoa tu Ushauri: Chato liwe Jiji na pia vitu hivi viongezwe

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Sep 11, 2017
1,694
3,982
Natoa pongezi kwa jinsi ambavyo mh rais anapajenga chato. Mimi nlikuwa natoa ushauri pangepewa hadhi ya jiji. Na pia waongeze barabara ziwe nne nne na fly overs ziwepo.

Chato panapaswa kuwe jiji la mfano afrika. Zile nyumba ambzo zilijengwa pasipo mpangilio zibomolewe. Zijengwe nyumba kwa mipango mizuri.

Kama itawezekana pia ichimbwe sehemu kama ngorongoro crater kuwepo na vivutio zaidi vya utalii.kutengenezwe beaches nzuri na bitches wengi pia wawepo kwa ajili ya utalii wa ndani

Pajengwe kila kitu cha kimataifa. Uwanja wa mpira wa kimataifa, uwanja wa ndege wa Kimataifa, Soko la Kimataifa, Uwanja wa Golf wa Kimataifa, Uwanja wa Basket Ball wa Kimataifa, na kila kitu cha Kimataifa.

Mh Rais hakikisha tunapata jiji la kipekee africa ambalo litakuwa mfano wa kuigwa. Kama inawezekana hata kujenga pyramids kubwa kuliko za misri hata mbili au moja itakuwa vyema. Na pia kujengwe mlima mrefu sana duniani.

Haya yote yanawezekana sababu tuna rasilimali watu ya kutosha na pia pesa zipo. Na je hatuwezi pia wekeza madini kule chato?mfano tukapandikiza madini ya Gold au Diamond? Hata kuvumbua madini mapya tuyaite chatonite.

Mawaziri mbalimbali ni jukumu lenu pia kuwa wabunifu kulingana na wizara zenu nini mnawezs ifanyia chato?siyo mnabweteka tu.kibwangalah yeye anaomba Mungu apatakinane faru kama faru rajabu akawapande wanyama wote walioko huko wazae makumi na mamia. Na apewe ombi lake. Amen.
 
Marshal Mobutu Seseseko. Yaliyokuwa yakifanywa Gbadolite ndio yanaendelea Chatto. Tunasubitia tu aagize Corncod yale madege makubwa na yenye mbio ya kifaransa.
 
Uwepo tu wa Mzee Meko kule ni kivutio cha utalii maana mtu anasoma mpaka level ya Phd halafu kitu pekee anajua ni definition ya catalyst!
 
Naoma mnasaliti nchi yetu kwa kujipendekeza kwa manufaa binafsi. Miji inatakiwa kukua kwa shughuli za biashara sio pesa za walala hoi. Yaani Watanzania ni sifa sizu hizi kuwa wajinga
 
Marshal Mobutu Seseseko. Yaliyokuwa yakifanywa Gbadolite ndio yanaendelea Chatto. Tunasubitia tu aagize Corncod yale madege makubwa na yenye mbio ya kifaransa.
Concord hamna badala yake amepeleka Airbus. "Magufubutu" ni hatari
 
Njia bora ya kusaidia jamii zilizo nyuma kimaendeleo ni kuwapelekea huduma muhimu kama maj, barabara, shule, vituo vya afya, umeme, miradi yenye multiplayer effects kama irrigation schemes, animal hybridization nk. Ila kujenga uwanja wa mpira siwashahuri maana hautamsaidia mwananchi wa kawaida kujikwamua na umasikini na baadaye kulipa kodi.
 
Back
Top Bottom