Mbona hasemi kesi hiyo ipo mahakama gani? Kwa jaji au hakim gani? Kesi namba ngapi? Alosema wamefukuzwa mbona hawajitokezi tuone hizo barua.maelezo hayajitoshelezi.
Nakushauri uwende pale gate namba 3 kafanye fujo.utajionea maajabu ya camera na detectors za tpa.wanzio walijidanganya wakaonyeshwa video zao.ala tunaomba kujua reaserch yako ulifanya mwaka gani koz facts ulizotoa na tunaoendaga mara kwa mara tpa haziendani.unapotosha umma
Na ww jiongeze kidogo kabla hujaropoka.kwani umeambiwa mwaka mzima ndomakontaina hayo tuu... dats just 1 vessel my friend.unatuletea kingereza uchwara hapa kwendaaaaa... alafu tunawasi hujalipa mkopo wako wa chuo kikuu
Mbona za 261 mita huzitajiiiii? Nashukuru unakiri kipande alihojiwa akisifu sasa hii nizaidi ya hiyo ya kipande unashangaa nini kakoko akijisifu.tulizaa uwone mambo
Isanga tuambie lin ilikuja meli ya mita 261? Nimesema meli zamna hii nichache sana duniani ulizeni hata bandari zingine za africa.huu nimwanzo tuu.. tunaamini zitaanza kuja nyingi
Bandari ya Dar es Salaam leo inaweka historia kwa kupokea Meli Kubwa kuliko zote zilizowahi kuingia yenye urefu wa mita 261.
Meli hiyo Hammonia Grenada yenye uwezo wa kubeba kontena 4,256 inatarajiwa kutia nanga bandarini leo Septemba 28 majira ya saa 7 mchana na itashusha kontena 483 na...
La msingi atleast nikwamba TPA wameanzisha chanzo kingine cha mapato en this is a gud thing.tunaona jitiada za tpa na serekali yetu.. ningependa na taasisi nyingine ziige mfano huu
Unatia aibu kucomment bila kusoma ujumbe mpaka mwisho.koz nimetaja mpaka meli kubwa zilizoweza kufika na kushusha mzigo.sio kila kitu unaponda kama kizuri sifia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.