Habarini,
Mimi ni kijana wa kiume nipo Kanda ya ziwa (jijini) baada ya kukaa kwa muda bila mpenzi sasa nahitaji mwanamke atakaye kuja kuwa mama watoto wangu, umri wangu ni miaka 27 elimu degree, nimejiajiri mwenyewe.
Vigezo vya nimtakaye;
* We na elimu kuanzia kidato cha nne
* Miaka kuanzia...