Recent content by edsoysoma

  1. E

    JamiiForums Tanzania Meya wa jiji la Dar: Zoezi la ukaguzi kila nyumba aliloagiza RC Makonda ni Batili

    yani meya anapinga tu bila kujua mipaka yake. mkuu wa mkoa ni bosi wake asije akajiingiza kwenye migogoro isiyo na msingi. Yeye ashughulike na usafi wa jiji na si kamati ya usalama
  2. E

    JamiiForums Tanzania Mhe. Rais, hii ndiyo Julius Nyerere International Airport inavyowatesa wageni na kuwakimbiza

    Mbona unaongea kama haujaenda shule kabisa. Yani unadiriki kusema wasije kabisa, au unaelewa nini unaposikia wageni. Tena tunakamsemo ketu: "mgeni njoo mwenyeji apone". Mtoa mada na nia njema ya hela ya umma isipotee halafu wewe unaleta maruhani yako, kisa bando unalo.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Ni Tanzania pekee mwanafunzi anapata division 4 kidato cha nne na anaenda chuo kikuu

    hao walikuwa wanasomea diploma ndugu. unga mkono kwamba wasome hiyo diploma au si sawa tuanze upya kwa manufaa ya wanafunzi watakaofundishwa nao!!
  4. E

    JamiiForums Tanzania MeTL wakanusha kukamatwa kwa sukari iliyofichwa

    Ukweli ni kwamba hawa jamaa kwa nguvu yao ya mtaji wanajirundikia bidhaa ili waweze control bei. Na huo ni uhujumu. Na hili la sukari ni tip of iceberg. Wanfanya hivyo hivyo pia kwenye mafuta ya kula na bidhaa nyingine muhimu.
  5. E

    JamiiForums Tanzania Ni hatari sana mifuko ya Pension kuwekeza kwenye viwanda

    mpaka usawa huu tayari kuna wanaokosa au kupunjwa mafao.
  6. E

    JamiiForums Tanzania Ni hatari sana mifuko ya Pension kuwekeza kwenye viwanda

    Toka lini akaitwa mwanasiasa ndugu, haujui unachoongea. Cheo cha Rais ni CEO wa nchi. Labda aende kwa kufia nyingine ya uenyekiti wa chama ndipo anakuwa mwanasiasa. Yani unaota na kutamani tuwe na Rais ambaye anayaogopa mashirika ya umma halafu unaamini tutakuwa salama. Angalia habari current...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Jen. Ulimwengu: Ni vyema Rais Magufuli asishiriki utawala wa mikusanyiko ya halaiki

    ulimwengu kafilisika kimawazo, anaponda kila kitu anaponda
  8. E

    JamiiForums Tanzania Kwenye hili la sukari Rais wangu sikuungi mkono, uchumi ni kanuni siyo amri!

    Haujui maana ya neno uhujumu? Hata kama pesa yako lakini chukulia umekuwa wakala wa kuuza tiketi za show ya mwanamuziki au mechi uwanja wa taifa. Hata ukimpa msanii akija ukumbini kwamba hela yako hii hapa, utakuwa umemuhujumu. Kumbuka mfano wa yule aliyefukia talanta yake bila kutia hasara wala...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Halima Dendegu nae awatumbua Maafisa Utumishi Masasi siku ya Mei Mosi

    Sasa kasoro ipo wapi hapo? Mi nilidhani unasema kamuonea aliyefukuzwa!
  10. E

    JamiiForums Tanzania Hali si shwari: Kamishina TRA, Waziri wa fedha, wagoma kutoa makusanyo ya TRA mwezi Aprili

    umeisema juu ya nini hapo mzee. nimekupa data kwamba mnadai wanaogopa kutoa taarifa za kodi mwezi uliopita wakati ukweli kuna miezi walitoa way zaidi ya hapa. ukiitoa kasoro kama kutoonyesha bunge live inaeleweka ila kwa hili japo shukuru kwa hiyo research niliyosaidi hapo.
  11. E

    JamiiForums Tanzania Hali si shwari: Kamishina TRA, Waziri wa fedha, wagoma kutoa makusanyo ya TRA mwezi Aprili

    Hapa nimewawekea tarehe zilipotangazwa miezi iliyopita: for December ilitangazwa January 06 2016 for January ilitangazwa Feb 23, 2016 for February ilitangazwa March 9, 2016 for For March ilitangazwa Apr 4, 2016
  12. E

  13. E

    JamiiForums Tanzania Hali si shwari: Kamishina TRA, Waziri wa fedha, wagoma kutoa makusanyo ya TRA mwezi Aprili

    Mngefanya research kabla ya kuponda ndio vizuri. Tutangulize uzalendo na si kufurahia au kuombea serikali ifeli. Hapa nimewawekea tarehe zilipotangazwa miezi iliyopita: for December ilitangazwa January 06 2016 for January ilitangazwa Feb 23, 2016 for February ilitangazwa March 9, 2016 for For...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Hali si shwari: Kamishina TRA, Waziri wa fedha, wagoma kutoa makusanyo ya TRA mwezi Aprili

    Mbona kwa mwezi January walitaja kiwango tarehe 06 January 2016 au ndio mambo ya kuwahi thread!
  15. E

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anavyozungumzwa maofisini

    hivi unajua hao wa maofisini hawafiki hata 1%. Na ni hao walizoea kupiga hela kwa wizi, ufisadi, rushwa na kutakatisha fedha za umma. Hivyo si ajabu unavyoona sasa wanalalamika baada ya kubanwa.
Back
Top Bottom