Recent content by Edson Ngogo

  1. E

    JamiiForums Tanzania Binafsi naona Bongo Movie inazidi kuwa hafifu, Nini maoni yako?

    Tatizo jingine kubwa ni kupuuza maoni ya wateja wao, kama hapo sitashangaa kama wakihisi una chuki nao kwa kuwaelimisha.
  2. E

    JamiiForums Tanzania Binafsi naona Bongo Movie inazidi kuwa hafifu, Nini maoni yako?

    ni kweli mkuu ni vyema kwa sasa bodi ya filamu nao wajitathimini kama viatu walivyonavyo si oversize
  3. E

    JamiiForums Tanzania Binafsi naona Bongo Movie inazidi kuwa hafifu, Nini maoni yako?

    wala hujaongopa mkuu natambua uwepo wako ktk mada hii
  4. E

    JamiiForums Tanzania Binafsi naona Bongo Movie inazidi kuwa hafifu, Nini maoni yako?

    MKUU hata basata ni kama wamelala pia, au upofu wanisumbua
  5. E

    JamiiForums Tanzania Binafsi naona Bongo Movie inazidi kuwa hafifu, Nini maoni yako?

    mkuu chige bado tunakusubili, ktk majumuisho yako utuambie ni vp waandishi wa filamu wana makosa ikiwa wasani bado wana uwezo wa kuchagua kazi wapendazo
  6. E

    JamiiForums Tanzania Binafsi naona Bongo Movie inazidi kuwa hafifu, Nini maoni yako?

    anza sasa mkuu pengine utakutana na mahitaji yako.
  7. E

    JamiiForums Tanzania Binafsi naona Bongo Movie inazidi kuwa hafifu, Nini maoni yako?

    hahahahahaha vitambi tena ! mbona sio wote ! hata hivyo pengine baadhi ya movie huhitaji vitambi hivyo.
  8. E

    JamiiForums Tanzania Binafsi naona Bongo Movie inazidi kuwa hafifu, Nini maoni yako?

    mkuu huwa wanapita pita pengine ungefafanua kwa upana zaidi ungekuwa ni msaada zaidi kwao kuliko hapa ulipoishia.
  9. E

    JamiiForums Tanzania Binafsi naona Bongo Movie inazidi kuwa hafifu, Nini maoni yako?

    kama unakili haujasema haina umuhimu basi umetambua ni muhimu na umuhimu niulengao ndio huo huo ulioutambua kwa kusema hujasema haina umuhimu. hapo vipi mkuu
  10. E

    JamiiForums Tanzania Binafsi naona Bongo Movie inazidi kuwa hafifu, Nini maoni yako?

    NImependa hapo uliposema dakika kumi yupo super market ananunua vitu na anaonekana kila anachochagua ila akifika home anaonekana pia anavipanga vitu vile vile ni kweli mkuu, suala la muda haliheshimiki.
  11. E

    JamiiForums Tanzania Binafsi naona Bongo Movie inazidi kuwa hafifu, Nini maoni yako?

    sawa mkuu nakubaliana nawe pia I HOPE UNAAMINI KUNA SIKU NA BONGO ITAONEKANA.
  12. E

    JamiiForums Tanzania Binafsi naona Bongo Movie inazidi kuwa hafifu, Nini maoni yako?

    JE, NI KWELI BONGO MOVIE INAKUA? Nianze kwa kusema nimekuwa mdau wa bongo movie kwa mda mrefu sasa, tangu enzi za shamba kubwa, nsyuka nk. Hivyo nimeona ni vyema na mimi leo nikatoa yangu ya moyoni kuhusu tasnia hii. Bongo movie ni kazi kama zilivyo kazi nyingine tena pengine ni kazi...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Waziri Membe asifia uteuzi wa Mama Kilango.Asema ni mwanamke jasiri.

    Kakuachia na wewe upate wa kuwasifia.
  14. E

    JamiiForums Tanzania Salamu toka Arusha na Manyara kuhusu Zitto.

    Siasa tuu isikutoe ufahamu kiasi hiki mkuu
  15. E

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mkutano wa CHADEMA na waandishi wa habari - Nov 26, 2013

    Mkuu unaathirika nn zikikaa na picture au zikikaa pctr update zinatoka ? Busara ile ile itaniongoza kutokukujibu use...........ge wako hapo juu
Back
Top Bottom