Miaka ya nyuma Mwalimu baba taifa J.K Nyerere aliwahi kufukiza wawekezaji wote wa kutoka India (Hindus investors)
Baada ya kungatuka madarakani walirudi tena Tanzania.
Ndugu zangu wanajamii; katika uchunguzi niliofanya inaonekana kuwa sector zote ambazo zinaendeshw na wahindi mi za kifisadi...
Kwa hiyo unamaanisha kuwa Nani wa kifunga paka kengele ? Tanzania hakuna mti aliye zaliwa kufa kwa ajili ya wengine, hii bado sana kila mtu anawaza superiority kwa wengine .akiongea tu na mtu wa nje anaona yuko super.
Ulimbuken tunao wa enzi za zamani haujaisha na tunarithishana .
The preceding...
Challenge with UA degrees uache kazi au ufanye ili update ntaji badae ufanye business. Au utafute kazi ukiwa na experience cauz wengi tunawaza kazi za 1.5m na kununua gari.
Tukififika kazin bolonga bolonga bora liende ( maana yake hujui kazi tayari hasara kwa company)
My idea start bottom grow...
Warioba alipewa majukumu ya kuunda katiba na anefanikisha ;hao mamburura wanaosema ni mawazo yake wamefanya nn au wamezoea kumeza tu na kujaza matumbo kisa tu kawabania .mm mtazami wangu hii kura ya maoni ya katiba ni ya wiz kwanza katiba tunaipigia chapa moja .basi ziwekwe mbili ya kwao na...
Make your network troubleshooting .since last year I had made my troubleshoot and come up with the solution by changing my phone model up to now with smartphone still same same problems.
Tusolilaume bunge la katiba tufahamu kuwa sisi wenyew watanzania huwa hatulubali mawazo ya sisi kwa sisi. Kila MTU ana taka atoe kero zake na co kuchanganua Yale yaliyowekwa kwenye ajenda.
Voda huduma Zime dolora a mtu anatuma SMS inakaa zaidi ya masaa 3 had 4 au anakupigia sipatkani imekuwa kero. Kama kuna uwezekano ongezen booster za mtandao ili kupunguza msongamano (network jam)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.