Recent content by edson mtabe

  1. E

    JamiiForums Tanzania waalim wapya wadhurumiwa

    ndivyo inavyokuwa kila mwaka' bila kuunganisha nguvu na kuandamana hawapati kitu. mwaka jana walillipwa ela za cku 14 na mizigo
  2. E

    JamiiForums Tanzania Matokeo kidato cha nne yatatangazwa live tbc1 saa 11!

    kipindi hiki huwa kinakuwa na tetesi nying za uongo
  3. E

    JamiiForums Tanzania Nimepangwa sumawanga mjini,tubadiishane

    kaka nicheck kwenye edsonmtabe@yahoo.com mi mwenyewe nilikuwa swanga ni pazur mno sa hizi nipo moshi kwenu
  4. E

    JamiiForums Tanzania Nimepangwa sumawanga mjini,tubadiishane

    kaka i can assure you sumbawanga is one ot the best place to live in this country . mimi ilikuwa kama wewe 2009 nilipangiwa kufundisha huko kwanza nilikataa kwenda ila wadau waliniambia nenda ukapacheck then utarud. nilipoenda nilikaa too years bila kurud jijini kwetu. pale ni patamu mno. nenda...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Nimepangwa sumawanga mjini,tubadiishane

    unachokiongea ni 100% correct mimi pia nilikuwa kama jamaa lakin nilipenda niliseama naenda kupacheck then ntarud. ajabu nilikaa 2 years bala kutoka na huko ndiko kuliko nitoa kimaisha kuna opportunity nying sana za kutoka kimaisha
  6. E

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya kidato cha nne 2011 ya natoka lini?

    this January lazma yatoke https://www.jamiiforums.com/images/styles/JamiiForums/smilies/A%20S%20embarassed.gif
  7. E

    JamiiForums Tanzania Walimu wenzangu tujuzane we umepangiwa wapi?

    vp hakuna wa rukwa
Back
Top Bottom