Nimepangwa sumawanga mjini,tubadiishane

unachokiongea ni 100% correct mimi pia nilikuwa kama jamaa lakin nilipenda niliseama naenda kupacheck then ntarud. ajabu nilikaa 2 years bala kutoka na huko ndiko kuliko nitoa kimaisha kuna opportunity nying sana za kutoka kimaisha
 
kaka i can assure you sumbawanga is one ot the best place to live in this country . mimi ilikuwa kama wewe 2009 nilipangiwa kufundisha huko kwanza nilikataa kwenda ila wadau waliniambia nenda ukapacheck then utarud. nilipoenda nilikaa too years bila kurud jijini kwetu. pale ni patamu mno. nenda ndo palipo nitoa kimaisha kuna buness opportunities nying sana. edsonmtabe@yahoo.com
 
Halafu mkiwepo hapa JF mnalalamika ooh Tz asilimia zaidi ya 73 ni illiterate wakati walimu wote mnataka muishie Dar!!Usiogope ndugu maisha huwa tunaanzia popote then ukishaimarika ndiyo unachagua pakuishi!Mimi ni mfanyakazi wa wizarani nipo Mtwara nakaribia kufa kwa kitambi kunizidia,nilipopangiwa huku wenzangu wa dar walinicheka lakini cha ajabu kila weekend wao ndiyo wa kwanza kunipigia simu kama nimeshafika dar nikawalipie bili za gambe!!Dar kila biashara ipo utafanyanini kipya utoke?nenda huko walipolala ukawaamshe nakuapia hautatamani kurudi dar kamwe!Mshahara wenyewe wa mwalimu wa serikali Dar utakusaidiaje?
 
Back
Top Bottom