waalim wapya wadhurumiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

waalim wapya wadhurumiwa

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Eraldius, Feb 3, 2012.

 1. Eraldius

  Eraldius JF-Expert Member

  #1
  Feb 3, 2012
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 569
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  katika halli isiyo tegemewa waalim walio ripoti katika vituo vyao wameambulia kulipwa pesa ya siku saba ambayo nayo imelipwa kwa baadhi ya almashauri tu kama vile segerema na msoma huku ikisisi tizwa kua hakuna kitakacho lipwa tena.

  Mbaya zaidi hakutakuwa na malilpo yamizigo yawaalimu hao hivyo kujikuta wakipokea kiasi cha 315000 kwa wale wa halmashauri zilizoko mjini na 245000 kwa vijijini hii nikwa shahada tu. hali ni mbaya zaidi kwa waalim wa wa stashahada na cheti kwani wepokea chini ya hapo.
   
 2. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,058
  Likes Received: 3,085
  Trophy Points: 280
  Kusema kweli hii serikali iko mortuary,jana ndugu yangu kanambia wamekopeshwa pesa na halmashauri tena ya siku 4 na hizo 3 wasubiri kwani hadi wa leo bado serikali haijapeleka pesa za waajiriwa...
   
 3. e

  edson mtabe Member

  #3
  Feb 3, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndivyo inavyokuwa kila mwaka' bila kuunganisha nguvu na kuandamana hawapati kitu. mwaka jana
  walillipwa ela za cku 14 na mizigo
   
 4. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #4
  Feb 3, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280
  Wanakosa umoja. wakigoma nchi nzima watalipwa, lakini ni woga. halafu wengi ni div 4 ya pt 28, afanye mgomo ana ubavu. Kesho ikitoka sekyula kuwa wote wenye div 4 waliosoma ualimu wamefutwa? We acha tu angalau hicho kidogo!!!
   
 5. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #5
  Feb 3, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Wanawapelekesha watakavyo wanajua nyie ni waoga sana mkikemewa mnafyata
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Feb 3, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,490
  Likes Received: 19,884
  Trophy Points: 280
  Slaa aliwaambia kuwa mkimchagua Kikwete ni janga la taifa hamkusikia mkaenda kumpigia kura. haya matunda hayo yameshaiva
   
 7. j

  joseph1983 Member

  #7
  Feb 3, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa sisi walimu inaonekana kwamba ndio daraja la kunyonya zaidi hivyo inahitajika hali ya ziada kukomesha hilo,si mnaona madaktari umoja wao.mimi niliajiriwa 2008 mpaka leo sizijui posho ya kujikimu,na mishahara ya mwezi machi 2008, april 2008, nini nimedai mpaka nimechoka pesa niliyo tumia kufuatilia hizo pese ni nyingi kuliko ninazodai,hapa ni lazima walimu vijana tuamke,tusiogope wala tusitishiwe,hizo pesa za mizigo lazima zitolewe kwani kuna waraka unaoelekeza hivyo,pia walimu watakao pelekwa vijijini Waziri wa elimu alitamka rasmi walimu hao watapewa 500000/=posho ya kujikimu,nilazima maelezo ya tolewe kwa niini mpewe kiasi hicho kidodo cha fedha.
   
 8. mwakaboko

  mwakaboko JF-Expert Member

  #8
  Feb 3, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 1,841
  Likes Received: 257
  Trophy Points: 180
  serikali imekiri bungeni kuwa haina pesa, wavute subira
   
 9. P

  Ptz JF-Expert Member

  #9
  Feb 3, 2012
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 466
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 60
  Mkuu waraka mpya wa 2011 wa kuhusu posho za watumishia wa umma unaelekeza hivyo, kuwa ni siku saba kwa posho ya kujikimu na ni wewe tu siyo mwenza wako wala watoto, mfano kwa shahada ni kwa siku ni sh 65,000 kwa jiji na manispaa, sh 45,000 kwa miji midogo na 35,000 kwa vijijini hivyo piga mahesabu na zingatia kituo chako ni wapi, na hivyo kutokana na waraka huo malipo hayo ni sahihi, hivyo subirini mshahara wa kuanzia na pesa ya mizigo. Na zaidi serikali iliahidi kuwalipa waalimu watakaopangwa vijijini sh 500,000 utekelezaji wake bado. Nakushauri uutafute waraka huo mpya, badala kuanzisha migomo kwani ajira za mwaka wenu huu ni tofauti na walokutangulieni walolipwa kwa siku 14 walikuwa na waraka wao ambao umetenguliwa na waraka wa sasa.
   
 10. N

  NZURI PESA JF-Expert Member

  #10
  Feb 3, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 4,034
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  Mbona yeye ni janga la ULIMWENGU au hujui hilo. dakita asiye na digrr ya kwanza!
   
 11. mtamanyali

  mtamanyali JF-Expert Member

  #11
  Feb 3, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,128
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
   
 12. king'amuzi

  king'amuzi JF-Expert Member

  #12
  Feb 3, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mwenye nacho huongezewa na asiyenacho huporwa kile kidogo alichonacho, Mbunge mbali na mshahara mkubwa anaomba kuongezewa posho mwalimu na mshahara wake mdogo wanampunja hata kaposho kiduchu cha msimu.Aibu kwa kikwete na serekali yake.
   
 13. M

  Mchakatoh JF-Expert Member

  #13
  Feb 3, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 257
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Umesoma waraka wa fedha za kujimu walim wapya? ua ndo nyie mmpewa kwa mdomo tu!..
   
Loading...