Recent content by Edson J Madohyo

  1. E

    JamiiForums Tanzania Biden atoa kauli kali kwa Putin, Ikulu yaingilia kati kupooza makali

    Maneno yote aliyo yaongea Biden sina tatizo nayo ila hapa “For God’s sake” [emoji15][emoji15] kwamba.....???? Au mie ndo sijaelewa?
  2. E

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mahindi ya njano Na maharage ya Njano

    Toa detail zote ndugu mjumbe. Mfano Offer yako imekaaje kwa mahindi kiongozi? Then unahitaji kiasi gani maximum? Wewe upo Arusha, in case mahindi yakipatatikana mkoa mwingine,utayafuata ama utahitaji uletewe ? Nk
  3. E

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awateua Humphrey Polepole na Bi. Riziki Said Lulida kuwa wabunge wa Tanzania

    Una uhakika gani Polepole alikua CCM hata kabla? Kwamba alipohojiwa na yeye kusema hajawai kutokua mwana CCM basi ukaamini? Usiutumie umri wako kama kigezo Comrade! Itoshe tu kusema Polepole ni katika wajengaji hoja Mahiri kupata kutokea katika aridhi hii ya bara la Africa. Hayo ni maoni...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awateua Humphrey Polepole na Bi. Riziki Said Lulida kuwa wabunge wa Tanzania

    Naanza na mfano wako wa pili, ninakunukuu (Lakini siwezi kupinga ukweli kuwa ni mchapakazi kwa asili, bila kujali matokeo ya uchapa kazi wake) Kigezo hicho peke yake ndio kimesababisha kukataliwa kwa wagombea wengine kwa nafasi za Urais, Ubunge/Uwakilishi na Udiwani, sio ushabiki wa wananchi kwa...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awateua Humphrey Polepole na Bi. Riziki Said Lulida kuwa wabunge wa Tanzania

    Kwamba akijenga hoja sawa na unavowaza wewe hana tatizo, ila akitofautiana na wewe anakua ame-disqualify?
  6. E

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awateua Humphrey Polepole na Bi. Riziki Said Lulida kuwa wabunge wa Tanzania

    Umewaza kama mimi tu comrade, kwa mrengo wa nchi yetu, ujamaa na kujitegemea Polepole ni mtu sahihi sana, na niliyaona maandalizi yake tangu yupo vyuoni huko, kwenye asasi za kiraia, katiba ya warioba, mwenezi wa CCM, mbunge. Namuona kama waziri wa ULINZI, au wizara ya KATIBA NA SHERIA
  7. E

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awateua Humphrey Polepole na Bi. Riziki Said Lulida kuwa wabunge wa Tanzania

    Mkuu unaelewa nini mtu akisema Ndugu Polepole ni mjengaji mzuri wa hoja? Sitaki kukupinga ila tu nikuambie ukitaka kuuona ujengaji hoja wa mtu yeyote achilia mbali Polepole jiweke neutral. Ukiwa na upande wa kuegemea tu hutoweza hata kumkosoa mfuasi wako mwenyewe.
  8. E

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awateua Humphrey Polepole na Bi. Riziki Said Lulida kuwa wabunge wa Tanzania

    Wewe kiasi fulani tunashabihiana kimawazo, Mimi nikimuona ndugu Polepole naona mbali sana, mbali mno, watu wasimchukulie Poa ndugu Polepole. Napata fununu nyingi tu za CCM kuwekeza vilivyo kwa Ndugu Polepole, kwamba watu wengi wanam- underrate sana ndugu Polepole. Binafsi nilitegemea uteuzi...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Tuliopata ajira za ualimu 27 Novemba 2020 tukutane hapa

    Mkuu usikate tamaa, katibu mkuu alisema kanzudata/kanzidata (sijui kama nimepatia ) wanayo majina mengi mno yanye sifa na vigezo ila nafasi ndio hazitoshi. Na obviously kuna watu wamepangwa ambako hawapataki so subiri tu kuna watu hawataripoti kwenye vituo vyao na nafasi zao zitajazwa na ambao...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Tuliopata ajira za ualimu 27 Novemba 2020 tukutane hapa

    Pole sana mkuu, binafsi nafikiri kwanza kipaumbele kinakua kwa waalimu wa masomo ya sayansi, kilimo, na biashara (maana soko halina bidhaa hizi) Pili kwa waalimu waliosomea masomo ya wanafunzi wa mahitaji maalum ( wanafunzi wenye ulemavu mbalimbali) Tatu kwa waalimu wanaoomba shule za nje...
Back
Top Bottom