Huo ni ukweli, vitabu ivi vilivutia sana. Chukulia njama, kikosi cha kisasi, hofu vy Msiba, tutarudi na roho zetu, mikononi mwa nunda vya Ben mtobwa. Kwa kweli nilikuwa nikianza kukisoma silali kabisa. enzi hizo makwetu na vibatari macho hayakuchoka kabisa.
kuhusu eddy ganzel habari za mwisho...