Halafu mambo mengine hayahitaji hata elimu ya sekondari kuyafahamu..zito kama mwanachama wa chadrma enzi hizo ni wajibu wa kazi kumnadi mgombea yoyote kwa hiyo hapo hakua anamnadi mnyika kama zito hapana alikua anamnadi kama chadema na ndo mana hakwrnda kumnadi idd zungu ilala au azan...
Unawezaje kuikosoa hii speech kama huna matatizo..?..huwi na akili timamu kama utajaribu kuikosoa speech ya Dr slaa kwa sababu ulizotoa..napenda nikusaidie jambo moja kua upeo wako ndo umishia kwenye hayo ulioandika. hivyo levo iliyotumika kuandaa hiyo dpeech ni kuja mno kulinganisha na upeo...
Adui wa harakati za mabsdiliko Tanzania ni watanzania kams hao wasiopima mamvvbo hata ukwrli kama huu mtu anapinga yu yaanni wanatia hasira sana....k#$%*yo zai
Nyie waambieni waumini wenu wasiichague ccm huyo pengo mwacheni aendelee kua mtumishi wa watu na nyie kueni watumishi wa kondoo..mi cjaona sababu ya pengo kuongea ongea angenyamaza kimya mana hata yeye kadharau maamuzi ya wenzake..angetulia awaambie waumini wake kanisani na sio kwenye vyombo vya...
Lipumba akiisapoti ACT ni sawa na chadema kuisapoti ADC...watu wenye akili timamu wanaelewa kinachoendelea ila wale mazuzu ndo basi tenaa..zitto hana haja na urais kazi yake ni kuvuruga harakati za mabadiliko na kupunguza kura za upinzani hasa chadema...mi nawashauri wenzangu na mimi wajiadhari...
Acha uzuzu we mtoa mada kufanana kwa vifupi sio kosa inategemea na katiba husika kuna katiba nyingine hazina masharti but kuna nyingine zenye sharti kwamba si ruhusa kuiga hata kama umeongeza maneno mbele...
Watanzania hii tabia ya kumpenda mtu kama mtu ndo imetufikisha hapa tulipo lazima yumpende mtu sawa lakini pia tuangalie na chama kinacho simamia sheria zake na za nchi kwa ujumla bila kuangaliana usoni..uzitto na umbowe tuweke pembeni kila mwanachama anajua wapi mbowe kaitoa wapi chadema huwezi...
Hapo zitto nae kajiongeza kile kipengele kinasema mwanachama akikipeleka chama mahakamani na akashindwa kesi basi atakus amejifukuza uanachama wake mwenyewe .narudia akishindwa kesi kwa hiyo chadema haikuzuii kwenda mahakamani bali nenda ukashinde kesi kwa maana ya ukishinda haki zako zipo na...
Shibuda shibuda hilo ndo snitch letu chadema likiongea hovyo ccm wanaliita wanalipa michapo yote linatuletea chadema.hahaaa. wakoleze wakoleze..hili game ni noumer
Tume kamatume inajua taratibu zote ambazo chadema inabidi ifuate wao wakae kimya wasubiri chadema wawaletee barua au wasiwaletee hii mambo mara leo tume imesema hivi mara leo ofisi ya bunge imesema hivi yanahusu nini?.ama kweli huyu chalii alikua double agenty.CHADEMA NI HOMA YAA JIJI TUTAKUA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.