Recent content by edompo

  1. edompo

    Barua: Zitto akataa posho za vikao

    @ Mkandara!! Kuna mfuko wa jimbo unaosimamiwa na Halmashauri. Hiyo KDI sio mfuko wa Jimbo ni NGo ya m2 binafsi ambalo jukumu lake kiutendaji havitofautiani na hilo la Lameck na Deo. Alichofanya Zitto ni kubuni matumizi mengine ya posho yake. Kama yy muungwana apeleke hiyo pesa mkoa mwingine...
  2. edompo

    Barua: Zitto akataa posho za vikao

    @ Kasheshe! Atakuwa amelipwa sawa na wenzake kwa kutumia akaunti ya KDI. Sawa na Mbunge anaepeleka maendeleo yake mwenyewe. HAYUPO PEKE YAKE WAPO WENGI. WAMRUHUSU NI WAJIBU WAKE KIKUBWA AMECHELEWA ILITAKIWA TOKA 2005.
  3. edompo

    Barua: Zitto akataa posho za vikao

    Kwa uamuzi huo nampongeza sana ZITTO. Ombi langu kwake rafiki yangu ni kutotumia mbinu hiyo kuwahadaa Watanzania kwa kudhani hawajui kuchuja na kupembua mawazo yao. Hiyo Kigoma Development Initiative (KDI) inafanya shughuli zake wapi???? Bado ni pesa hiyo hiyo inafanya kazi ya jimbo lake. HIVI...
  4. edompo

    Nape ajibu makombora ya Marando

    Unataka Nape ajibu Makombora ya NANI !!!!!!????? Ameongea nini au alikuwa anapaza SAUTI??? Unaifahamu historia yake huyo Mzee wa MAKOMBORA KWENYE ANGA ZA SIASA???:dance: Kumbuka aliwahi kukwepa viti kwenye kikao cha Chama fulani. Kwenye uwakili nampa Bravo lakini kwenye SIASA mmmmm!!!!!!! anatia...
  5. edompo

    JK ni kweli kazaa na mtoto wa ROSTAM?

    y !!!!!! Huyo mwenye mtoto ra hajalamika?????? Tuache kumzushia jamani c uungwana.
  6. edompo

    Dr. Slaa Kulipwa maslahi kama mbunge anastahili?

    Ndg. Kikubwa pambana na HOJA. Amezungumzia Mshahara wa KIPENZI CHAKO. Swali ni je anaupata hivyoooo!!!! Msingi upi ulijengwa kumuhalalishia kupata kiwango hichoooooo!!!! Kama CCM inautawala mbovu huo uwezo wa ww kutukana unaupata wapi!!!! NI VYEMA KAMA BABA YAKO MZAZI HAJAKUSAIDIA KIMAISHA, KUOA...
  7. edompo

    Nape, Labda ukisoma hapa itakusaidia!

    Si kutumwa na Mjomba au Shangazi Mvuni!!. UTASHI NI JAMBO ZURI. Utashi ndio unaomtenganisha BINADAMU na WANYAMA wengine. Binadamu anapopungua utashi hugeuka na kufanana na wanyama. Hivi kosa la Nape ni kuyasema mapungufu ya Dr. Slaa na Mbowe???? Je mwataka kutuambia hao ni watakatifu???? mnataka...
  8. edompo

    JK ni kweli kazaa na mtoto wa ROSTAM?

    Hata kama ni kweli yy amekua mlalamikaji au mbea??? Anamchafua kiongozi
  9. edompo

    JK ni kweli kazaa na mtoto wa ROSTAM?

    @Mchunguzi!!!!! Huo ushahidi wa Major kumtuhumu kiongozi Mkuu wa Nchi kaupata wapi??? Ashukuru JK ni mpole na mwenye hekima na Busara anajua watu anaowaongoza ni wa aina gani. Vyema amsamehe huyo Major kwani nae ni miongoni mwa watu anaowaongoza. Ifike wakati watu wa dizaini hii ya Major...
  10. edompo

    JK ni kweli kazaa na mtoto wa ROSTAM?

    @ Major. Kosa ni nini? Kuzaa au Rostam.!!! MWANA wewe!!!!! MUHESHIMU BABA NA MAMA YAKO upate heri Duniani. Ombi langu kwa Utawala wa JF kuruhusu UPUUZI kama huu kutumwa mtandaoni na wao kuuafiki. HII NI KASHFA KUBWA KUMTUHUMU KIONGOZI KIPENZI KWA WATANZANIA. Mwandishi huyu ananikumbusha hadithi...
  11. edompo

    Nape, Labda ukisoma hapa itakusaidia!

    Kila mtu ndg. yangu anao uhuru wa kutoa maoni yake lakini maoni ya mtu mwenye BUSARA utayajua na Maoni ya mtu aliyetoka MIREMBE pale Dodoma nayo utayajua. Mwenyezi Mungu akusamehe kwa kutumia vibaya uhuru wako wa kutoa MAONI. RUSHWA inasemwa hata kweta kwenye vitabu vitakatifu. Kama watu wako...
  12. edompo

    Kikwete na semina elekezi kwa Mawaziri - Dodoma 2011

    Hapo kuna ukweli. Vyema utoke na muongozo juu ya POSHO watakapo fanya ziara wote hao. Hao waheshimiwa waamuapo kufanya ziara hilo vyema walizingatie. Kubwa MSAIDIENI DR. JK KUFANIKISHA MALENGO YAKE NA CHAMA CHAKE.
  13. edompo

    Kikwete na semina elekezi kwa Mawaziri - Dodoma 2011

    @Makene. JK si kwamba analalamika alichokuwa anakifanya ni kutoa uongozi wa pamoja kwa watendaji wake. Mtoto unamzaa ww na kumlea bado kama mzazi huchoki kumkanya na kumuongoza. Hotuba yake imeonyesha dhamira yake ya kuwatumikia Watanzania. Tumuunge Mkono kwa hili Makene hata kama unamapenzi yako.
  14. edompo

    Safari za nje za Mhe. Rais Kikwete 2010 - 2015

    @ Enock/ Kibanga/ Ciril - Jamani tujue dhamana ya KIONGOZI. Ukizunguka huko vijijini kwetu matatizo ni mengi sana. Kwa hiyo BUSARA ya kiongozi nikuangalia namnagani atawasaidia watu wake. Hilo la Cape Town ni DHAMIRA yake. Mpeni nafasi ndipo tumpime 2015 akikabidhi UONGOZI.
  15. edompo

    CHADEMA Kuitikisa Nyanda za Juu Kusini; Safari Kuanza kesho

    Dada Regina. Wakati mnakuja huku kwetu kusini mjue tunamatatizo yetu. Msilete matatizo yenu kutuongezea mzigo. Kumbuka huko mliko toka matatizo yao hamjayamaliza wala kuyapunguza. Watu wa mikoa ya kusini ni wakarimu sana huwa tukisalimiana au kupeana kitu huwa tunapiga goti. TUNASUBIRI HIZO MILA...
Back
Top Bottom