Recent content by Edmund N Abel

  1. Edmund N Abel

    JamiiForums Tanzania Mahaba yaliyo murua

    Malenga ya kakonko? >Ado Shaibu
  2. Edmund N Abel

    JamiiForums Tanzania uvaaji wa hovyo kwa wanaume

    Mwingine utakuta kavaa tai huku amevaa jeans
  3. Edmund N Abel

    JamiiForums Tanzania Tufanye maandamano ile MIJIWE ya UBUNGO mataa iondolewe na STRABAG!!

    mkiungana kwa sauti moja inaweza ondolewa.
  4. Edmund N Abel

    JamiiForums Tanzania Vituko, visa na vibweka vya machangu

    Wako kikazi zaidi.wakidorola lazma ujue tu.
  5. Edmund N Abel

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

    Tuko sambamba na bunge.hakuna aliye achwa nyuma apa jf.
  6. Edmund N Abel

    JamiiForums Tanzania Afande sele umekurupuka vibaya kwenye siasa R.I.P

    Zitto anastahik pongeZ kwa kuvumilia dhidi ya tuhuma zote zinazo mkabili.
  7. Edmund N Abel

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2015

    Je CHADEMA wamejipanga vip kuuchukua ushindi licha ya changamoto ndogondogo ndani ya chama kukikabili?.
  8. Edmund N Abel

    JamiiForums Tanzania Judgement Miaka miwili Foramuni

    nakuombea maisha marefu
  9. Edmund N Abel

    JamiiForums Tanzania Dada Aliyembaka Mbunge Wa Arusha, Kumbe anasambaza Ugonjwa wa Ajbu?

    Huu ugonjwa "WA AJABU"Hauna tiba?
  10. Edmund N Abel

    JamiiForums Tanzania Rejea utotoni

    Je watoto wanajifunza wap mapenz? 1.kwa baba na mama? 2.wap?
  11. Edmund N Abel

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wako kwa hili

    Nimewaelewa tena sana .Aksanteni kwa ushauri.
  12. Edmund N Abel

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wako kwa hili

    Nilikuwa na mchumba ambae tulipendana.pindi nimechaguliwa chuoni 2012 akadai kuwa ange nisubiria lakini nilipo rudi rikizo nilikuta wametoa mahari sabab et kashawishiwa na dada ake ,na hivi sasa ashaolewa. Anadai tuendeleze mapenzi ya kisiri et bado ananipenda je nile mzigo.
  13. Edmund N Abel

    JamiiForums Tanzania Daaaaa!!!!

    HAta uwe na mali kiasi gani kifo kiki kukuta yote utasahau
  14. Edmund N Abel

    JamiiForums Tanzania Wazo la leo wakuu!!!

    Daa! Wajomba mnatisha ile mbaya.
  15. Edmund N Abel

    JamiiForums Tanzania Wazo la leo wakuu!!!

    Hii kali kuliko zote
Back
Top Bottom