Recent content by Edinam

  1. E

    Ugomvi kidogo anataka tuachane

    Umenikumbusha mpendwa mke wangu alianza hivyo hivyo, Sasa hivi Nina miaka 8 bila yeye. Mzee sepa, sepa huyo siyo wako.
  2. E

    Swali fikirishi usaili wa Sensa ya watu na makazi 2022

    Hili swali walikosea wao kuchapa badala ya kuandika mwezi wa nane wao wakaandika mwezi wa tisa. Hawakuliona kosa hili na kiuhakika wale waliokataa na kusema hapana ndio wapo sahihi. Wengi watakuwa wamejibu hapana kwani semina inatakiwa iishe mapema kabla ya tarehe ya sensa yenyewe ambayo...
  3. E

    Taja kazi/ biashara unayofanya ili upate connection

    Biashara zangu ni; 1. Kuuza na kukodisha mashela ya maharusi pamoja na suti za maharusi n.k 2. Napika vyakula vya sherehe a harusi na sherehe nyingine zote 3. Malamba kumbi za sherehe 4. Natoa huduma za keki za sherehe mbalimbali 5. Natoa huduma MC na muziki kwenye sherehe mbalimbali. 6. Natoa...
  4. E

    Kwa bahati mbaya mke ameshika ujauzito tena

    Pumbavu, shenzi kabisa. Wewe ni liprimitive la akili, elimu, muonekano na Kila kitu. Mamaako angekutoa Mimba ungejua kusema hata hiyo primitive? Kabla ya kutoa hiyo Mimba nenda kwa mamaako akakutoe kwanza wewe. Hata hao wanaokuheshimu wanaheshimu mtu zuzu kabisa. Wakijua umetoa Mimba ya mkeo ndo...
  5. E

    Nina milioni 2 tu natafuta kiwanja msalato au veyula dodoma

    Mambo vp kiongozi. Embu niunganishe na Mimi nilikuwa nataka kiwanja maeneo ya miyuji, msalato Hadi veyula vya Bei Kama yako kwa miyuji na msalato, kwa veyula au vijiji vya karibu iwe chini ya 2M. Vilivyopimwa Ni vizuri zaidi. Nitashukuru Sana Kama una hizo connection
Back
Top Bottom