Hiyo gvt sponsorship unaipata tu endapo kile kipindi cha kuchagua shule baada ya kumaliza form four ww chaguo lako la kwanza unaweka VYUO VYA UFUNDI na siyo FORM 5 then kama utakuwa na vigezo vya ulichokiomba bhasi lazima upate gvt sponsor mfano mzuri kwa madgo wa mwaka huu wote ambao...
Sidhani kama kilishawahi tokea kitu kama hicho, ila ninachojua mimi kama umechaguliwa kusoma diploma under government sponsorship yaani badala ya kwenda form five ukaamua kwenda vyuo vya ufindi kama MUST,DIT,ATC au Water Institute (WI) hapo kweli utalipiewa ada na utapewa pesa ya field na msosi...
Hasa unashauri mtu asijaze hizo kozi harafu unasema hakuna raha kama kujaza kozi unayoipenda hasa una uhakika gani kuwa watu hawazipendi hizo kozi? kingine hakuna kozi marketable kama statistics ukiachana na afya na ualimu
ada unalipa nusu me nna mdogo wangu yupo udom anasoma bsc Statistics analipa 220000 kwa mwaka yaan 110000 kw semist.........na pia 710000 ya boom cyo kwa semister ila ni kwa miez miwil wakat semist moja ina miez mi4
kuna jamaa alisema udsm hiyo program ipo wakat mm nmefaiti saana udsm ila imeshindikana kusaidiwa hata peke yangu ndyo maana nnamshangaa bt hongera kwao UDOM
Acha uongo ww umesoma udsm gan ww watu tupo hapa udsm mwaka wa tatu huu hakunaga hicho kiyu ebhaana much lov saaana kwenu udom mmewasaidia watt wa masikin wanaojilipiaga wenyewe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.