Recent content by Eddo Sambai

  1. Eddo Sambai

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: CCM wanakwenda kwenye Uchaguzi sababu wana uhakika kushinda kwakuwa kuna mifumo inawabeba

    Mambo ni moto. Polepole kagongelea msumari wa mwisho.
  2. Eddo Sambai

    JamiiForums Tanzania Iran imerusha makombora kwenye base za USA za Qatar na Iraq

    Kabla hapajakucha kuna mtu mkubwa utasikia hautupo nae. Kategwa na yeye akaingia kwenye mtego
  3. Eddo Sambai

    JamiiForums Tanzania Netanyahu asema kuwa kumuua Khamenei kungemaliza mzozo kati ya Iran na Israel

    Kwani hujui kazi ya malaika Izraeli?
  4. Eddo Sambai

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Gwajima amekuja kutuonesha Watanzania tunatumia njia ambayo siyo sahihi kutafuta ukombozi

    Gwajima kapite mule mule kwa Tundu Lissu. #No reforms No Election (KATIBA)
  5. Eddo Sambai

    JamiiForums Tanzania Video: Wananchi Kenya wavamia ubalozi wa Tanzania kutokana na Wakenya kushikiliwa na kuzuiwa kuingia Tanzania

    Huu ni wakati wa Lissu, na hakuna atakayeweza kishindana na wakati na akashinda
  6. Eddo Sambai

    JamiiForums Tanzania Kwa hasira hizi na maelekezo haya tumekwisha

    Hakuna anayeweza kushinda na wakati na akashinda. Mabadiliko huamuliwa na wakati..... Wait and you will see
  7. Eddo Sambai

    JamiiForums Tanzania Ibrahim Traore: Huu ndo ujinga na upumbavu wa Waafrika!

    Ni swala la muda
  8. Eddo Sambai

    JamiiForums Tanzania Vinara wa G55 wote wameshanufaika na CHADEMA. Hawana ndoto tena wala cha kupoteza

    Huu uzi ni wa moto kweli.. Any way ukweli mchungu ndio huu
  9. Eddo Sambai

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Tumeshapigwa
  10. Eddo Sambai

    JamiiForums Tanzania Taarifa za uongo zinavyoenea haraka mtandaoni - A case of Tundu Lissu na Bunge la Ulaya

    Ukiachana na Mwalimu Nyerere Lissu ndio the second Great Man of this country. Huyu jamaa akishika Dola ni lazima mabadiliko positive ya Kiuchumi na kisheria yatokee kwenye nchi hii. Mali za nchi hii zilizoibwa na kutaifishwa au kukabidhiwa kwenye vyama vya siasa ni lazima zirudi serikalini...
  11. Eddo Sambai

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nimeumia sana chama kuvunjika na kuparaganyika siku 70+ za uongozi mpya!

    Umeongea points sana, hao walioama pamoja na Mbowe kama kweli walikuwa na nia ya kuleta mabadiliko ya kisiasa kwenye nchi hii basi kipindi hiki wangekuwa wa kwanza kumshukuru Mungu kwa kutupa zawa ya Tundu Lissu. Ila Mungu ni Mweza na sasa ameweka ukeli wote wazi na kila mwenye akili anajionea.
  12. Eddo Sambai

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nimeumia sana chama kuvunjika na kuparaganyika siku 70+ za uongozi mpya!

    Wananchi waliowengi na wapenda mabadiliko wanayoimani kubwa sana na Tundu Lissu, hivyo chadema kwa sasa ipo mikono salama. Wait and see
  13. Eddo Sambai

    JamiiForums Tanzania Jinsi Mungu anavyopangua mawazo finyu ya wanadamu dhidi ya mpango wake kwa Chadema na Lissu

    Sina mashaka, huu ni wakati wa Tundu Lissu, mbeba maono
Back
Top Bottom