Halafu unapodharau PhD ya UDSM, unamaana gani wakati wanaukawa mnyika na mbatia walishindwa kumaliza hata degree ya kwanza pale UDSM.wakaondoka kusoma degree za .com.
Mbona unang'ng'ania article aliyopublish. Inaelekea haufahamu kama university ina functions nyingi zikiwemo na public outreach pamoja na kufundisha. Mbona huulizi consultancy alizofanya au evaluation ya ufundishaji wake. Kwani unafikiri hoja ya kupublish ina mashiko siku hizi? Au haujafahamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.