Recent content by Ed771

  1. E

    JamiiForums Tanzania Je una imani na Rais Samia?

    Kwa uonavyo nchi inavyokwenda unazungumziaje imani yako kisiasa na Rais tuliyenaye?
  2. E

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji wamezuia passport yangu!

    Natumai wote muwazima, na pia familia zenu, na marafiki wanaendelea vyema. Mimi nina swali linanitatiza juu ya uhamiaji, nimeomba passport baada ya kupotea mbaya zaidi wameizuia kwa muda wa miezi 6 yaani mpaka mwezi wa 5 mwakani, ila nasikia mara nyingi inaashiria inahitajika rushwa ili kuipata...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Wizi wa kuaminiwa!

    Leo amelipa sehemu ya deni
  4. E

    JamiiForums Tanzania Wizi wa kuaminiwa!

    Habari ya leo, Nina matumaini wote wazima. Mimi nimepata mkasa tangu tarehe 12.11.2017, nilienda kununua simu Kariakoo, mtaa wa Aggrey, nikauziwa simu Nokia fake, ambayo nilifanikiwa kuirudisha, ila toka niirudishe nimekuwa nikizungushwa kupata pesa yangu, yaani nimekuwa nikiambiwa kesho...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Passport: Maombi ya Hati ya Kusafiri ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Ulimuona nani mpaka kupata msaada?
  6. E

    JamiiForums Tanzania Kero za ofisi za uhamiaji

    Yaani inakaribia mwezi wa pili huu naomba Passport uhamiaji wananizungusha kama sio mtanzania, inauma kwa kweli, kila unapoenda wanaagiza ulete document mpya nå kila siku wanataka urekebishe kitu hivyo nimeamua kuja hapa jamvini kujua kama hii ni kawaida au la
  7. E

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu: Wanaotumia Kikuu na Jumia kufanya manunuzi mtandaoni

    Na huenda hiyo ya 80 mpk 120 kwa nchi za nje inaonekana feki ila kwa huku inaonekana bora kuliko
  8. E

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu: Wanaotumia Kikuu na Jumia kufanya manunuzi mtandaoni

    Ni kweli ila ngumu kwa wote, after all kama mtu haki yake mpe tu, dhulma huchafua nyota
  9. E

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu: Wanaotumia Kikuu na Jumia kufanya manunuzi mtandaoni

    Hata wafanyabiashara nao si wakweli, unaweza kulipa bidhaa A anakuletea B akijua wazi atalumbana na mteja. Haipendezi. Bidhaa nyingi za China zilizokuwepo kwenye soko hata Ulaya huzikuti hata hizo zinazosadikiwa kuwa grade ya juu nadhani ni kwa soko la Afrika
  10. E

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu: Wanaotumia Kikuu na Jumia kufanya manunuzi mtandaoni

    Bidhaa za China nyingi hufanana design sio quality, na online huwa mara nyingi wanaweka tu picha bila maelezo ya kina juu ya quality ya bidhaa. Ni njia ya kuwarubuni wateja.
  11. E

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu: Wanaotumia Kikuu na Jumia kufanya manunuzi mtandaoni

    Ni tatizo kwa kweli, bado tuna safari ndefu kufika wenzetu walipofikia.
  12. E

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu: Wanaotumia Kikuu na Jumia kufanya manunuzi mtandaoni

    Uzuzu mbaya hasa ukitumia Tecno
  13. E

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu: Wanaotumia Kikuu na Jumia kufanya manunuzi mtandaoni

    Unapojibu hoja tanguliza hekima, sio kubwatuka kama uko kwenye gulio, ningekuwa sina pesa ningesubiri week 3?
  14. E

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu: Wanaotumia Kikuu na Jumia kufanya manunuzi mtandaoni

    Hivi umesoma post vizuri au moyo umeweka mvunguni?
Back
Top Bottom