Rais hapaswi kudeal na kesi za mtu mmoja mmoja ndio maana SSH akifika anamhoji mbunge au mkuu wa mkoa hawa ndio walioshika mahitaji ya sehemu zote.Shida za mmoja mmoja mwananchi inabidi asiwasilishe kwa viongozi wa ngazi ya chini.kama hajatimiliziwa mahitaji yake sasa hivi kuna media nyingi sana...
Inchi hii inawatu wanafki na waongo kabisa .mtu unaongea bila wasiwasi eti mradi umesuswa? Kwani hayati aliucha katika asilimia ngapi? Miongoni mwa dalili ya afya ya akili kumchukia mtu bila sababu.wewe unamchukia mama bila sababu za msingi.
N.B acha chuki za kidini,kikabila,na kikanda.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.