Recent content by ecolizer baba

  1. E

    JamiiForums Tanzania DOKEZO UDART wameanza wizi

    Inashangaza kuwa eti vituo vyote sh 50, 100 na 200 hazipo. Zimeenda wapi?? Au wanataka kutuambia kuwa hiziz silver zinataka kuondoshwa kwenye mzunguko wa BOT?? Wizi wizi wizi.
  2. E

    JamiiForums Tanzania DOKEZO UDART wameanza wizi

    Siku za hivi karibuni hawa watu wa mabasi yaendayo Kasi(UDART) Wameanza wizi wa wazi wazi. Ukienda kukatq ticket halafu ukatoa hela kubwa zaidi ya gharama ya ticket yako wanakuambia uwaongezee 150 au 200 ndipo upewe change yako. Kama huna itabidi wakusubirishe. Na kama una haraka zako utachukua...
  3. E

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu: Narudi kama Mwananchi huru tarehe 27 Julai 2020, Serikali inipe Ulinzi. Kesi zangu 6 zina dhamana, sitakamatwa

    Ndugu salaam. Naombeni link ya kusikiliza hotuba ya Tundu Lissu.
  4. E

    JamiiForums Tanzania Baada ya Nape na Mwigulu sasa ni zamu ya January Makamba

    Gazeti la Tanzanite la leo limeanza mashambulizi Rasmi dhidi ya Waziri wa Muungano na Mazingira Mh. January Makamba. Gazeti hili la Cyprian Musiba linadai January katoweka na Bilioni moja za NSSF. Nimejiuliza kuwa je baada ya Nape na Mwigulu hii ni zamu ya January?? Naomba kuwasilisha
  5. E

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: JWTZ ni Jeshi la Wananchi, si Jeshi la Watawala wala Viongozi!

    Anaandika bishop Benson Bagonza HAPPY BIRTHDAY MWALIMU JKN. Hayati Baba wa Taifa, leo 13/4/2019 anget imiza miaka 97 ya kuzaliwa. Alizaliwa tarehe ya leo mwaka 1922. Niandike jambo moja kama kumbukizi na kumuenzi. Mwaka 1985, wakati anastaafu, alihojiwa na chombo kimoja cha habari. Akaulizwa...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: JWTZ ni Jeshi la Wananchi, si Jeshi la Watawala wala Viongozi!

    HAPPY BIRTHDAY MWALIMU JKN. Hayati Baba wa Taifa, leo 13/4/2019 angetimiza miaka 97 ya kuzaliwa. Alizaliwa tarehe ya leo mwaka 1922. Niandike jambo moja kama kumbukizi na kumuenzi. Mwaka 1985, wakati anastaafu, alihojiwa na chombo kimoja cha habari. Akaulizwa ataje jambo moja lililomsikitisha...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Milioni 200 za kuchora na kupaka rangi ndege vs milioni 495 za kuchora nembo ya TPB

    Wanabodi nawasalimu. Nimekaa nikajiuliza kwamba kama Serikali ilikubali kununua nembo ya Benki ya Posta(TPB) kwa TZS Milioni 495 ilikuwaje serikali hiyo hiyo ikakataa ndege yetu kuchorwa Twiga na kupakwa Rangi kwa TZS Milioni 200?? Yaani Bunge letu linatumia nguvu kubwa kupambana na CAG badala...
  8. E

    JamiiForums Tanzania TARURA na Yono auction mart wanataka kutudhulumu sisi wakusanyaji wa ushuru hapa Mbeya Mjini

    Kwanza nianze kwa kuwasalimu. Pili naomba hiki kilio kiwafikie mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mkurugenzi wa jiji la Mbeya, Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano na waziri wa Fedha na Mpango. Ni kuhusu sisi Wafanyakazi wa YONO AUCTION MART na TARUA hapa Mbeya. YONO AUCTION MART umeingia kama mkusanyaji wa...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri matokeo ya Mbunge jimbo la Buyungu na uchaguzi wa madiwani kata 36 Tanzania bara

    *MATOKEO YA UDIWANI KATA YA TURWA TARIME MJINI KWA VITUO 13.* 1. BUGUTI ENEO LA WAZI CDM 137 CCM 82 2. GIMENYA CHEKECHEA CDM 69 CCM 128 3. KOKEHOGOMA ENEO LA WAZI. CDM 81 CCM 62 4. REBU S/MSINGI B CDM 101 CCM 83 5. REBU S/MSINGI A CDM 88 CCM 77 6. REBU SEC A CDM 86 CCM 97 7. REBU SEC B...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Kim Atangulia Singapore Kumsubiri Trump

    Dah mkuu sikuwa na nia m
  11. E

    JamiiForums Tanzania Kim Atangulia Singapore Kumsubiri Trump

    Hivi kwa mfano ikatokea kuwa kipindi hiki Kim Jong Un yuko safarini vp Marekani hawawezi kuivamia Pyongyang kwa makombora ya kushtukiza.??
  12. E

    JamiiForums Tanzania Kwako Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla kuhusu sisi wafanyakazi wa Hospitali ya Ks

    Amani iwe kwenu wadau. Ninaomba kupitia jukwaa hili nifikishe kilio chetu sisi Wafanyakazi wa hospitali ya Ks kwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Amos Makala. Naomba kuwasilisha hoja zifuatazo: 1. KUCHELEWESHEWA MISHAHARA: Uongozi wa hospitali ya Ks unatucheleweshea sana mishahara sisi watumishi...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Kwako Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla kuhusu sisi wafanyakazi wa Hospitali ya Ks

    Amani iwe kwenu wadau. Ninaomba kupitia jukwaa hili nifikishe kilio chetu sisi Wafanyakazi wa hospitali ya Ks kwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Amos Makala. Naomba kuwasilisha hoja zifuatazo: 1. KUCHELEWESHEWA MISHAHARA: Uongozi wa hospitali ya Ks unatucheleweshea sana mishahara sisi watumishi...
  14. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nafuatilia kesi ya uchaguzi Kenya, kuna kila dalili ya kuwepo uchaguzi wa tatu

    Acha kuota wewe jana NASA walikataliwa sehemu ya hiyo kesi hivyo huko Supreme court NASA hawana mwakilishi ambaye ni active. Labda waende kama observers tu
  15. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania This is the Truth to those who want To hear the Ttuth

    Am very much glad that eventually Raila Amolo Odinga can't be the president of Kenya. Yaani amedanganywa na akina Orengo ajiondoe kwenye elections na akakubali. What a foolish he is!!! Akadai kuwa ataanzisha NRM kupinga kila kitu cha government na kuwaambia watu wasusie bidhaa za kampuni zilizo...
Back
Top Bottom