Alikuwa na mdogo wake walikuja sehemu nayofanyia kazi mdogo wake ndio alikuwa na shida nilimsaidia tu kama dadaangu kila mtu akaendelea na hamsini zake
Baada ya mwezi tukakutana kwenye daladala yeye akawa siti ya mbele mm ya nyuma na wala hakunishtua ila baadae wakat Wa kutoa nauli nashangaa...
Dah! Nilifanya ujinga mmoja ambao mpaka sasa nikikumbuka moyo unaniuma sana.
Kuna Shemeji yangu yaani rafiki na mke wangu alikuwa na mazoea sana na mke wangu kiasi kwamba alikuwa anakuja Mara kwa Mara nyumban hata wakat mwingne mke wangu asipokuwepo kama kuna shida yoyote alikuwa anakuja...
Katka muono wa kimaendeleo na fursa Mtu kama Mo alistahili kuwa raisi Lakn kwa Tanzania hapa Mo huwez kuwa Raisi hata iweje. ....
Nadhan mnakumbuka Dr Salimu Ahmed Salimu pamoja na uwepo wake ndani ya serikali kwa mda mrefu pamoja na ushawishi aliounesha Lakn ona alivyopingwa kwa rangi yake...
Unataka kifo! Yaan mme wake hajashtukia hesabu Huna mtoto huyo ni Mali yake jamaa.
Kazaliwa ndani ya ndoa yake kwenda kumdai mtoto unajitakia matatzo nakubwa sana
Bila shaka wewe ni msukuma.....
Unachanganyikiwa na rangi? Wewe unafikir wangapi wamemuona?
Faida ya kuoa nyumban. .
1.mkigombana ndani ya nyumba wazazi wanaingilia kati kuwapatanisha na kuwapa muongozo mwema.
2. Watoto watakuwa na kuwa ktk hali ya makuzi mema kulingana na mila na desturi za...
Halafu mtuhumiwa mwenyew ni yatima hana baba wala maana alikuwa anahaha kutafuta angarau apate pa kujishikiza lakn kaangukia sehemu ya hatar...
Lakn huyo jamaa ni mlaji mzur wa rushwa ila sasa asipokee tena rushwa hapa ni mbwaimbwai.... Nmeumia sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.