Habari waungwana.
Nauza asali mbichi kwa bei ya jumla, kutoka mkoa wa Tabora.
Lita 1 ni elfu kumi 10k
Lita 5 ni elfu hamsini 50k.
Lita 20 ni laki mbili mzigo wako. Baki salama.
Hebu tujiulize wanachoongea hao Maaskofu au wachungaji ni kweli?
Kama wanaongeq kila siku mambo ambayo hamuyaoni (Jehannam, Paradiso, Shetani) na hamuoni shida... inakuwaje wakiongea mambo ambayo mnayaona wazi na kwa utashi kabisa yanahitaji kuzungumzwa mnaona shida?
Ni kweli wenzetu...
Habari Guys, natumaini mpo salama.
Mimi ni mgeni wa kilimo, naomba kuuliza... ekari 6 za kikimo cha muhogo, kilicho tunzwa kawaida, kina wastani wa chini wa gunia ngapi?
Nineuliza sababu nilisikia watu wakibishana hakivuki gunia 100!
Wapo wengi sana, kama Abdlurhamna Sudais, Shams Al Morsalin, Ubaid ar Rahman Al Mohsen.
Hapa zamani tuliwahi kuwa na Sheikh Ali Mohsen Bharwani ambaye alikimbia alifukuzwa Zanzibar baada ya Mapinfuzi na Karume , ila kwasasa sijajua kweli.
Lakini ni vyema kujua kuwa Elimu ya Kiislam...
Utajiri au umaskini ni njia ambayo Mungu kawekea kanuni... hakuna Mungu anaependa watu wawe Maskini, Unaskini ni chukizo mbele za Mungu japo sio dhambi.
Mtume (saw) alisema "Tunajikinga kwa Allah (azwj) dhidi ya Ufakiri na Ukafiri".
Wanafunzi wake (Masahaba) wakashtuka na kuuliza " Vinafana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.