Hamna kilicho ibiwa. Tuwe na akili ya kufkiria jamani Sio kuponda tu. We mtu huwezi kusema kontena Zima lina mali hilo wakati kontena nzima linatoa mali chache sana Sasa kwenda kutoa habari za uongo Kwa kamponi kama Hiyo ipo kwenye London Stock market dua nzima inanunua share zao ni shida sana...
Hata wamtumiye lissu na wengine hamna kitu kwenye Hiyo kesi ni lazma serekali italipa ma bilioni ya hela hapo manake leo sijui siku ya 4 na bado share price zao Zina poromoka tu. Dah
Since we all know that in each economic fluctuations there's a business opportunity or idea can up. However as for our current situation here in tanzania what kind of business can succeed??? Considering current money circulation and level of forex. Drop ur idea?
Hii hapo yesu mwenyewe kwenye bible anajitafautisha ye na mungu. Soma chini Unipe jibu kuhusu hili.
Matthew 24:36
No one knows about that day or hour, not even the Son, but the Father only.
Here Jesus makes a distinction between what he knows and what the Father knows.
2. Matthew 26:39
My...
Tatizo letu kubwa ni media na tuna believe Kila walicho wanakisema Sudan wanavita leo zaidi ya miyaka 10 pia mtu akifanya hvyo Sio kwamana ndo uislamu unasema kufanya hvyo. Ntakwambia hivi mie nasoma Uarabuni na najua. Labda ufike uangaliye mwenyewe ndo utaupata ukweli.
Mikutano Yao wanaweza kufanya kwenye sehem zao za ibada vile vile na waisalam kule wanafanya kwenye misikiti. hamna Mikutano ya hadharani Kwa wote na Kwa Kila kitu
Kwanini hakuna makafiri unamanisha nn?? Mie nasoma Oman nawapo wakristo watu wanchi za nje wanafanya kazi na wamepewa sehem malum ya makanisa sababu kufanya ibada zao. Lakini Hiyo nchi ya kislam 100% na katiba yake nawala hapewi uraiya asiyo muislam.
Umenipa reference ya Islam countries with secularism? Mie nimeomaba inchi ya kiarabu ina secularism. Sio nchi yoyote ya kislam ndo manake nchi ya uwarabuni.
We umetaja Saudi Arabia peke. Na umeacha nchi zote zingine kabisa na hi ndo tatizo letu siye binadam kwamba tunasahau vyote tulivyo tunavyo na tunajibagua Kwa sababu moja. Je unajua kama nchi zote zingine za kiarabu Zina makanisa?? Umeacha zote ukataja Saudi Arabia?? Unajua kwamba Iceland and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.