Recent content by ebi255

  1. E

    JamiiForums Tanzania Nina hekari moja ya mihogo, natafuta wanunuzi

    Futari hukamilika bila mihogo?nauliza tu
  2. E

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuku wa mayai hutaga mara mbili kwa siku?

    Ukiwapa chakula kila saa hata hilo moja hupati
  3. E

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    Me pia niko mwaza nakuja kwanza kujifunza naeneo bwiru pia
  4. E

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    Nami pm naruhusiwa
  5. E

    JamiiForums Tanzania TLS kuipeleka serikali mahakamani kwa kuongeza 15% kwa wadaiwa wa HESLB

    We utakuwa le mutuz bila shaka
  6. E

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Wiki ya tano hadi ya sita au kutegemea na hali ya hewa kama ni ya baridi sana na hawajaota manyoya unaweza waacha hadi week 8!
  7. E

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Kama unasoko la hao kuku fanya uende vijijini kusanya idadi unayotaka uuze but kufuga kuku wakienyeji uwauze kwa ajili ya nyama ndani ya wiki 6 inabidi utumie muujiza
  8. E

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Kazi nzuri mkuu
Back
Top Bottom