Heri yao walobarikiwa hata kupika wanasaidiwa,wengine hata uwe unaumwa lazima tu upike,nyie wanawake wapende sana wanaume wanaowasaidia,wengine hata kunyoosha tu nguo moja hatusaidiwi unaambiwa mahari nilitoa ya nini.
Hata sisi wnainchi wa Kongwa tunatoa taarifa ya kupotelewa na Mbunge wetu JOB Ndugai, sisi wapiga kura wake wa mlali na ndulugumi hatujawahi kumwona tangu amechaguliwa tunasikia tu ni naibu spika anafukuza wabunge wenzie wliochaguliwa na wanainchi kama sisi vile vile tunasikia ana wake wawili...
]Sasa hapa limbukeni ni nani? Kama hoja ya umaarufu tayari HKigwangalla ni maarufu kwanza kwa fani yake kama daktari hilo moja tu linatosha kumfanya awe maarufu; pili mbunge tena wa CCM; hapo bado hujaona tu umaarufu alionao? Wewe kama una hoja na unajiona unaouwezo wa kudabate kabiliana na...
Wacheki hawa jamaa wako facebook wanaitwa Themi builder wana na samle za nyumba zao wameweka,Wamemjengea rafiki yangu nyumba ya ghorofa moja maeneo ya kimara,na bei zao ni reasonable,no zao ni O75543OO99.
Inawezekana mkeo na HG wamepanga kwamba anamfukuza kumbe kampa pesa kwa siri apeleke nyumbani kwao - kijijini kwa mkeo.Hiyo imeshatokea sana kwa uncle wangu,mkewe ni wa kaskazini,anamwibia pesa then anamfukuza HG ili apeleke pesa Migombani na huu umekuwa mchezo wake kwa miaka sasa.
Mhh...
Chukua role yako kama baba wa nyumba, kaa nao wote ujadili hili suala na utapata hata kama sio 100% ya ukweli lakini walau.
Maana uanzapo kujishuku kuwa oh labda nikisema hivi itaonekana kama kuna kauhusiano, why kukaribisha hayo mawazo? ni streotypes tu ambao wanahisi kuwa uwezekano wa HG...
ahaaaa hawa wadada watatuua nilisafiri nikarudi jpili jioni loh mi wangu alirudi saa nne usiku nadhani hata hakulala hapo home toka nimeondoka,kumbana anasema alikuwa kwa mpenzi wake chuo kikuu alikuwa mgonjwa amempelekea hela,huyo kijana nilishamuonya nae haelewi anasema namuonea wivu ana...
mh bora umelionge mdau make mimi nilienda na kichanga cha wiki naambiwa nisipojiandikisha mda unaisha hawaandikishi tena!ila sishangai hiyo ndo serikali yetu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.