Recent content by EasyFit

  1. EasyFit

    JamiiForums Tanzania Boeing 787 Dreamliner nazo zagundulika zina matatizo, CEO ajiuzulu

    Boeing wanataka kushindana na Airbus kwenye airlines industry wanasahau usalama wa ndege yenyewe.
  2. EasyFit

    JamiiForums Tanzania Wajue ma DED zaidi ya 74 wasimamizi wa Uchaguzi ambao ni wanachama wa CCM

    Hawa ndio wanaochangia kuiharibu Tanzania ionekane nchi haina demokrasia kwa kulazimisha matokeo.
  3. EasyFit

    JamiiForums Tanzania Wajue ma DED zaidi ya 74 wasimamizi wa Uchaguzi ambao ni wanachama wa CCM

    Kwa kweli hii hukumu imewaumbua sana CCM sasa wako peupe, hongera sana Bob Wangwe hongera Fatuma Karume kwa mchango wenu kwa demokrasia Tanzania hakika nyie mtakumbukwa na kuandikwa kwa karamu ya wino wa dhahabu.
  4. EasyFit

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale PC INAUZWA

    Inawezekana iko Ghana tutajuaje, ila jamaa hayuko serious.
  5. EasyFit

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale PC INAUZWA

    Punguza basi bei.
  6. EasyFit

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Sasa hata top four nayo inakataa.
  7. EasyFit

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Dah mengi sana.
  8. EasyFit

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mechi ya leo kati yake na Everton, ni hayo tu..... asanteni.... ila samahani kwa kukosea jukwaa.
  9. EasyFit

    JamiiForums Tanzania Huu Ndio Msimamo wa CHADEMA, uchaguzi wa Ubunge "Jimbo la Nassari"

    Ili kuondoa gharama zote NEC inasubiri nini kumtangaza mgombea wa CCM kuwa tayari ni mbunge.
  10. EasyFit

    JamiiForums Tanzania Chimbuko la matatizo yote haya ni Freeman Mbowe

    Mbowe ndiye kasababisha sielewani na mke wangu..... LOL!
  11. EasyFit

    JamiiForums Tanzania Insha Maridadi 1: Farasi wa Magufuli Wamegoma Kunywa Maji...

    Good point.
  12. EasyFit

    JamiiForums Tanzania CHADEMA itabaki kuwa CHADEMA tu

    Lowassa hakuletwa Chadema na Mbowe, tunavyojua tangu mwanzo Mbowe alikataa lkn kwa kuheshimu maamuzi ya kamati ilibidi akubali
  13. EasyFit

    JamiiForums Tanzania CHADEMA itabaki kuwa CHADEMA tu

    ACT Wazalendo wanahitaji muda ili kujiimalisha hasa vijijini Chadema haijafika hapa over a single night.
  14. EasyFit

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya CHADEMA kubadilika kuendana na hali halisi

    Ameshatoka.
Back
Top Bottom