Recent content by Eamon Jacky

  1. Eamon Jacky

    Naombeni ushauri wanajamii...

    Nina mpenzi, huu ni mwaka wa pili sasa tupo kwenye mahusiano. Ila kwa bahati mbaya au nzuri, hatuishi pamoja kwa sasa mimi nipo Manyara kikazi na yeye yupo Songea kikazi. Kuna ugomvi ulitokea kati yetu hivi karibuni, alinikuta nawasiliana na ex wangu japo kuwa yalikua ni mazungumzo ya kawaida tu...
  2. Eamon Jacky

    Wapi nitapata kuku wa kisasa (broillers) Mwanza

    Habari ndugu zangu Hivi ni wapi nitapata kuku wa kisasa(broilers) kwa hapa Mwanza mjini?
  3. Eamon Jacky

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Nipe sababu tatu za msingi kwanini unataka hivyo
Back
Top Bottom