Recent content by Eack

  1. Eack

    JamiiForums Tanzania DP WORLD: Mkataba wa Bandari kwa Kiswahili (tafsiri isiyo rasmi)

    Kila hatua dua
  2. Eack

    JamiiForums Tanzania Why Prof. Kabudi is shy and quiet these days?

    Hii ndo tafsiri halisi ya "Dance according to the bit"
  3. Eack

    JamiiForums Tanzania Nimesikitishwa na kugadhabika jinsi Watanzania walivyopokea suala la wanafunzi waliotoka Sudan

    Maisha hayataki userious
  4. Eack

    JamiiForums Tanzania TikTok inagaragaza YouTube iliyokuwa ikisumbua kwa miaka mingi

    Fatilia maana ya "tube" ukishaelewa utaacha kuifananisha na tik plus tok
  5. Eack

    JamiiForums Tanzania NMB yaipa Serikali Gawio la Tsh. Bilioni 45.5

    Kwa upande wng bado gawio naliona dogo, wabaneni wanauwezo wa kutoa zaidi ya hapo hao. Wanatufanyia unyama sna kwenye kaunti zetu huku
  6. Eack

    JamiiForums Tanzania Tunaacha kuweka misingi imara ya Elimu yetu tunaenda kuwavizia waalimu kwenye ajira

    Na kasota mtaani miaka kadhaa plus stress za maisha, hizo content atakumbukaje ghafla?
  7. Eack

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amefanya kila Mtanzania kuwa na Matumaini ya kutimiza Ndoto zake

    Vipi wale wanaoishi kwenye ndoto zao tayari anawasaidiaje?
  8. Eack

    JamiiForums Tanzania Mbunge aliomba Kanisa kuiombea Nchi na kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan

    Siasa madhabahuni
  9. Eack

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa Serikali kaamua kujikalia kimya kuhusu suala la Bandari?

    Yuko busy anapitia appendixes
  10. Eack

    JamiiForums Tanzania Kuna genge limejipanga kuharibu kwa makusudi sifa na hadhi ya Rais Samia

    Hilo ni kawaida kwani huwezi kuwa mtawala na ukaeleweka kwa wote, watoto wako wa kuwazaa mwenyewe kabisa kuna mwingine anaweza asikuelewe na kukupiga vita ya kutosha
  11. Eack

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ikiwezekana hii mitihani ya usaili ya walimu itungwe, kusimamiwa na kusahihishwa na NECTA

    Ni vema mawaziri wakasimamia sera na taratibu za wizara siyo kusimamia mawazo yao, mawazo yapelekwe bungeni kujadiliwa siyo kuingizwa wizarani kama ndiyo utaratibu, tukumbuke Physics with Chemistry na kufutwa kabisa kwa somo la Agriculture miaka flani hivi
  12. Eack

    JamiiForums Tanzania DP World inatisha. Musukuma alisema kweli

    Hili pekee halitoshi kuwa kigezo cha ushawishi kumbuka teknolojia inanunuliwa ni suala la pesa tu
  13. Eack

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia imeinua morali ya kazi kwa Watumishi wa Umma

    Madaraja yapo kwa mujibu wa sheria, annual increment ipo kwa mujibu wa sheria vilevile but ongezeko la mshahara kwa takwa la Rais ni ridhaa yake. Bado hajatumia ridhaa yake vizuri
  14. Eack

    JamiiForums Tanzania Bomoa bomoa Iringa ni hujuma dhidi ya Rais Samia au ni udhaifu wa CCM Iringa

    Hawa wafanyabiashara wasio na maeneo rasmi siku zote hawaamini kama maisha yamebadilika, mkipelekwa sehemu rasmi hamtaki mfano Samora kwa Iringa wao wanataka kujipangia sehemu za kufanyia biashara asa hao watu wamipango mini wawe wanapanga nini kama ninyi mnataka kujipangia maisha? Tujifunze...
Back
Top Bottom