Recent content by e_tenga

  1. E

    Three Vital Questions Employers Ask

    Mi nakubaliana na wewe. Sometimes sio lazima uulizwe lakini unapoenda kwenye interview yoyote ni muhimu kujiandaa na maswali haya.
  2. E

    Kuweni makini, utapeli mpya umeibuka Dar

    Mi hawa jamaa walinipigia kwa 0716210695 na 0787751212.Baada ya kuwashtukia namba zao zikawa hazipatikani tena hewani.
  3. E

    Je SSRA wameshaita enterview

    Mkuu SSRA walishaita, inategemea wewe uliomba post gani mfano watu walioomba MIS Officer walifanya interview ya kwanza 19 mwezi huu. Afu interview ya pili ikwafanyika tarehe 21.
Back
Top Bottom