Recent content by E_Raymond

  1. E_Raymond

    JamiiForums Tanzania just for fun: Ni kitu gani ulifanya ukiwa shule ukikikumbuka hadi leo unacheka peke ako?

    Asee asubuh nimechelewa shule af sku iyo mwalimu mkuu alikuwa anakipindi cha hesabu asubuhi sku hyo nilikuwa nimevaa raba za mzee wangu we nlikula makofi nkarudi home.
  2. E_Raymond

    JamiiForums Tanzania KWELI Tofauti na tamaduni iliyozoeleka ya Rastafarians, Lucky Dube hakuwahi kuvuta bangi

    Ila sonyo alikuwa anavuta
  3. E_Raymond

    JamiiForums Tanzania Alex Ngereza: Al ahly watapasuliwa za kutosha na Yanga Kwa mkapa

    Huyu mchambuzi ana maono sana na me nliwaza hvyo hivyo
  4. E_Raymond

    JamiiForums Tanzania Je, mwamba wa Lusaka ( Chama) alikwenda kuomba maji kwa bahati mbaya au alikwenda Kama undercover kupeleleza vinywaji vya waarabu?

    Chama nae ni kiherehere we unaombaje maji ya Adui yako af punde tu katoka kuchera rafu
  5. E_Raymond

    JamiiForums Tanzania Je, mwamba wa Lusaka ( Chama) alikwenda kuomba maji kwa bahati mbaya au alikwenda Kama undercover kupeleleza vinywaji vya waarabu?

    Me nahic hata perce tau kashaona mengi anavumilia tu
  6. E_Raymond

    JamiiForums Tanzania Je, mwamba wa Lusaka ( Chama) alikwenda kuomba maji kwa bahati mbaya au alikwenda Kama undercover kupeleleza vinywaji vya waarabu?

    Ila waarabu wanatufundisha roho mbaya sanaa hakikuwa kitendo cha kiungwana kabisa
  7. E_Raymond

    JamiiForums Tanzania Msaada napata maumivu makali kwenye Magoti (joint zinauma sana nikikunja)

    Pamoja sanaa hvyo vidonge ni changamoto kuvipata
  8. E_Raymond

    JamiiForums Tanzania Mliomtukana kocha kwa uteuzi wa wachezaji Stars mtauweka wapi usoni wenu?

    [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]wachambuzi wanastaili pongezi wamefanya game imechangamka
  9. E_Raymond

    JamiiForums Tanzania Msaada napata maumivu makali kwenye Magoti (joint zinauma sana nikikunja)

    Kusimama mda mrefu ila sio masaa zaid ya 8
  10. E_Raymond

    JamiiForums Tanzania Msaada napata maumivu makali kwenye Magoti (joint zinauma sana nikikunja)

    Ila kwenye familia yetu hakuna mwenye tatizo hili ni mimi tu before nlikuwa nasumbuliwa na vidonda vya tumbo sasa kuna dawa nlitumia kwa muda sana nikapona za kampuni ya suma ila baada ya kupona tatizo la joint likaanza na nakumbuka hyo siku nlikwa nacheza mpira mpaka sasa yanauma
  11. E_Raymond

    JamiiForums Tanzania Msaada napata maumivu makali kwenye Magoti (joint zinauma sana nikikunja)

    Nashukuru sana mkuu kwa ushauri wako
Back
Top Bottom