Recent content by E Papaa

  1. E

    JamiiForums Tanzania Hongera JK kwa kuiacha Dar ikifanana na Los Angeles

    Hahahahaaa!!! athante mstaafu, kumbe L.A ipo kama Dar,,, ELimu, elimu elimu inahitajika
  2. E

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya vyuo tayari. Semeni lingine tena tuone

    Duh!!! mbona title umeandika kiushabiki, haiendani na kilichopo ndani, We upo mwaka Wa ngapi? na vp ulipata dvsn ngap o-level?
  3. E

    JamiiForums Tanzania Kuanguka chooni/bafuni na kufa, kuna uhusiano gani?

    Wana jf hi post Niliona Jana nikaidharau xna, lakini kweli Leo yamenikuta, rafiki angu wa karibu alikuwa anaoga akateleza na kuanguka. kumuwahisha hospitali akafariki. Hakika bafuni so pa kawaida
  4. E

    JamiiForums Tanzania CCM mnaandika lakini?

    Huoni hapa tunaorodhesha!!!!
  5. E

    JamiiForums Tanzania Ngoja nijaribu kufungua dimba la majina ya Koo mbalimbali nchini Tanzania

    WAGOGO Mchiwa mazengo matonya cheliga mtundu ng'ongo SONGOLA Lungwa Chisewo mwelulo Ng'habali mhawi tabwali Endeleeeaaa.............¡Á~
  6. E

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini akianguka katika maisha watu wake wa karibu hufurahia na kumcheka

    Post Imenigusa Sana, Kabla Ya Kupata Kazi Nilikuwa Nasota Xna Wakati Nasoma, Kulima Vibarua Na Wazaz Wangu Ili Nipate Hela Ya Shule. Ndg Sikuwaona. Sasa Nimepata Kazi, Mara Mimi Mjomba Wako Mtoto Wa Babu Upande Wa Baba Yako, Mara Mi Dada Ako Upande Wa Bibi Mzaa Bibi Yule Bibi Wa Mama Yako...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Raphael Tenthani mtangazaji wa BBC Malawi amefariki

    Isomeke tarehe 16/05/2015. nahis kuna makosa kidogo. R.I.P RAPHAEL
  8. E

    JamiiForums Tanzania Video: Mayweather, Siwezi kusaidia Afrika kwa sababu haina mchango wowote kwenye mafanikio yangu

    Hii Cyber Crime Act 2015 Imemsaidia Maana Ningemshushia Jiwe. Nahisi Wanaomba Wangempelekea
  9. E

    JamiiForums Tanzania vipi ajira za ualimu mwaka kesho(2015/2016)

    Ajira Zitakuwepo. Ila Kauli Ya JK juzi "SERIKALI HATUNA MPANGO WA KUAJIRI TENA, TAFUTEN KWENYE MASHIRIKA BINAFSI AU MJIAJIRI"" Inanivunja moyo.
Back
Top Bottom