Recent content by e.mushi

  1. E

    JamiiForums Tanzania Gari aina ya Nissan Note namba D, 1300cc inauzwa

    Dah!! Haiwezekani mkuu.
  2. E

    JamiiForums Tanzania Gari aina ya Nissan Note namba D, 1300cc inauzwa

    6.7M kaka
  3. E

    JamiiForums Tanzania Gari aina ya Nissan Note namba D, 1300cc inauzwa

    Nissan Note namba D, haina tatizo lolote 1300cc, Millages 170,000Km Ya mwaka 2005. Bei 6.7M, mazungumzo ni madogo sana. Njoo PM kwa mazungumzo Ipo Mwanza, Unaikagua mwenyewe au njoo na fundi wako.
  4. E

    JamiiForums Tanzania The Only Thing We Have to Fear is Fear itself

    JF ya enzi hizo, hoja zilikuwa zinapanguliwa kistaarabu. Watu walikuwa wana heshimiana hata kama wanatofauti zao kichama. Natamani JF hii irudi cc JamiiForums Mod
  5. E

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Bunge halijapeleka mapendekezo kwa Rais kuhusu uteuzi wa katibu

    Aliye tenguliwa kasema Rais hajavunja katiba, sasa nyie sijui mnalia nn
  6. E

    JamiiForums Tanzania Nataka kulikomboa Jimbo la Moshi vijijini

    Mkuu nipo kwenye harakati za kukijenga chama, kwasasa nipo kirima. Karibu
  7. E

    JamiiForums Tanzania Nataka kulikomboa Jimbo la Moshi vijijini

    maendeleo huletwa na serikali. Hakuna mbunge mwenye fedha za kujenga barabara, hakuna mbunge mwenye fedha za kusambaza umeme, hakuna mbunge mwenye fedha za kuleta chochote bungeni. Hivyo mnaposifia maendeleobya moshi mkumbuke kusifia serikali.
  8. E

    JamiiForums Tanzania Nataka kulikomboa Jimbo la Moshi vijijini

    ulitaka tuwe wapi?
  9. E

    JamiiForums Tanzania Kutoka Ikulu: Rais Magufuli awaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri kutokana na mabadiliko ya Baraza

    Vijana wameaminiwa, kazi kazi. Tuna imani na Magufuli
  10. E

    JamiiForums Tanzania Nataka kulikomboa Jimbo la Moshi vijijini

    Limetekwa na chadema, halipo sehemu salama
  11. E

    JamiiForums Tanzania Nataka kulikomboa Jimbo la Moshi vijijini

    ....
  12. E

    JamiiForums Tanzania Nyalandu aelezea afya ya Tundu Lissu

    Nashangaa mpaka sasa kwanini Nyalandu yupo ccm. huyu ni wa kutumbua kabisa
  13. E

    JamiiForums Tanzania Serikali kemeeni viongozi wa dini kujiingiza katika siasa za nchi!

    Serikali ina ina mambo ya msingi ya kufanya
Back
Top Bottom