Habari wanajamii,
Nakaribisha wote mlioko tayari kujifunza na kupata ujuzi kuhusu PMP® (Project Management Professional) kupitia PMP® Prep Master Class.
PMP® ni nini?
PMP® ni cheti cha kitaalamu kinachotolewa na Project Management Institute (PMI). Ni cheti kinachotambulika duniani kote na...
Waafrika wenzangu,
Tupo katika enzi ambapo, kama Waafrika, tunapaswa kufikiria Afrika kwa ujumla badala ya vipande vipande. Tunahitaji kushirikiana, kujadiliana, na kujenga mustakabali wetu kama bara moja. Katika kufanikisha hili, naona umuhimu wa kuwa na sehemu maalum kwenye JamiiForums...
P. L. O. Lumumba, mwanasiasa na mwanaharakati wa haki za kijamii kutoka Kenya, ni mmoja wa wasomi wachache ambao wamejitolea maisha yao yote kupigania Uafrika na kujenga ufahamu wa kina kuhusu Pan Africanism. Lakini je, sisi Waafrika tunamuelewa kwa undani? Je, tunachukua hatua kufuata...
Wabongo muko na mambo... mmepewa bible muhangaike nayo... wenzenu wanapiga deals. Bible iko hivyo ilivyo kwa makusudi! Kukuvuruga tu! Namna pekee ya kuilewa bible ni kujizuia kui question! For critical thinkers, the bible will only make your head spin! Sitaki kupigwa mawe mimi!
Pazito hapo. Lakini pia sio sababu ya sisi kutojitathmini! Kila kitu ni hatua. Huwezi fanya yote kwa wakati mmoja! Atapatikana kiongozi siku moja atasikia kilio cha Watanzania. na Mambo yatakaa sawa! Kwa sasa, TUISHI NAO TU!
Habari Wana JamiiForums,
Natumaini mko salama na mnaendelea vizuri na shughuli za kila siku. Leo ningependa tujadili jambo muhimu sana linalotuhusu sisi sote kama Watanzania. Tujaribu kuangalia jinsi tunavyotumia pesa zetu baada ya kupata ujira wetu na ni kwa kiasi gani tunachangia uchumi wa...
Hapana kiongozi, Katavi ni moja kati ya mikoa iliyopo katika kanda ya magharibi mwa Tanzania. Mkoa wa Katavi uko upande wa magharibi mwa Ziwa Tanganyika, na una mipaka na mikoa ya Kigoma, Tabora, na Rukwa. Mji mkuu wa mkoa wa Katavi ni Mpanda. Kuna jingine?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.