Recent content by E. J. Magarinza

  1. E. J. Magarinza

    Regina Lowassa: First Lady Mtarajiwa

    Napendekeza First Lady na team yake sasa waanze kukata anga na wafike kila kijiji cha nchi hii hasa akianza na Dodoma, Singida, Manyara na Umasaini kote.
  2. E. J. Magarinza

    Mabango ya CCM Mjini

    Siyo langu ndugu ni la NYINYIEM na mgo-mbea wao. Ukilichukua utakuwa umewasaidia sana kwa promo
  3. E. J. Magarinza

    Mabango ya CCM Mjini

    Unamaanisha mabango haya???
  4. E. J. Magarinza

    Waziri wa zamani Lawrence Masha afikishwa Mahakamani, akosa dhamana

    Masha nachokiona hapa ni Mungu anakupitisha katika hatua ya utakaso, Haya yanatupa waTZ fursa ya kipekee ya kusamahe na kusahau kabisa yale yote uliyoyatenda ndivyo sivyo kipindi ulipokuwa na dhamana serikalini. Masha imeandikwa ktk katiba KITABU "chuma hunoa chuma". Naamini sasa Mungu...
  5. E. J. Magarinza

    Waziri wa zamani Lawrence Masha afikishwa Mahakamani, akosa dhamana

    Ndugu Investigator mada inaonesha kuna kesi mbili kwa makundi mawili tofauti: -Kesi ya kwanza unawahusisha Friends of Lowasa kwa kuvaa nguo zenye naneno yaliyotamkwa na Nyerere na kisha yakarudiwa na kamanda Lowasa siku anaondoka CCM "watanzania wanataka mabadiriko wasipoyapata ndania ya CCM...
  6. E. J. Magarinza

    Waziri wa zamani Lawrence Masha afikishwa Mahakamani, akosa dhamana

    Njoni nyie wenyewe mtaani mtoe huo mkong'oto muache kudeka kwa MAPOLISI basi. Unamaanisha JK yule anayeangukaga jukwaani au yule kiguu na njia. Sasa hivi kabinywa hata kutalii kasahau.
  7. E. J. Magarinza

    GE2015 Ilani ya CCM 2015-2020 - Uchaguzi Mkuu 2015

    Teh teh teh ukawatajia katiba mpya MACCM ni kama unawalazimisha kuja.mba hadharani. Wao wanampango wa kutununulia sisi waalimu laptop mpyaaaaa kotoka china, alafu watugawie vijiji vyote nchini mil50 "TZS" kwa kila kijiji (vijiji 12,000 * 50,000,000 = 600,000,000,000 i.e bil 600), alafu...
  8. E. J. Magarinza

    Waziri wa zamani Lawrence Masha afikishwa Mahakamani, akosa dhamana

    Hii kesi lazima ina mkono wa yule kichwa cha mbayuwayu a.k.a baba liz aka muanguka hovyo majukwaani asee. Hata mapolisi wetu pamoja na "ubwege" wao hawawezi kumtungia mtu kesi ya kibwege aina hiyo kama si kwa shinikizo.
  9. E. J. Magarinza

    CHADEMA/UKAWA kuzindua kampeni tarehe 29 Agosti, 2015 Jangwani

    Ongezea na Kofia woyeeeeee, Miwani woyeeeeee, Kifimbo woyeeeeeeee.
  10. E. J. Magarinza

    Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

    Hahahahaaaa MAKUFILIII kweli tunaiona Tsunami bhana. Magari mengiiiii kuliko idadi ya binadamu, bila shaka Diamond huko hayupo hapo hahahaaaa!!!!!! Alafu ile marufuku ya maandamano ya waenda kwa miguu na vyombo vya moto kipindi hiki cha kampeni Polisi waliitoa ili imuhusu nani eti????? MKAPA...
  11. E. J. Magarinza

    Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

    Hahahahaaaaa kweli kuwa CCM yahitaji akili kama ya MKAPA. Eti UKAWA hawapumui hahahaaa!!!
  12. E. J. Magarinza

    Duh! Hivi suala la Katiba Mpya halimo!!?

    Wakiongea katiba mpya ni sawa na kuipa promo UKAWA so hilo kwa CCM Ni kama mti washawasha hata hawataki kulisikia kabisa. Hili la katiba bila shaka ni hoja kubwa kabisa itakayotumiwa na UKAWA kUONESHA roadmap ya kutatua maloloso meeeengi yaliyozalishwa na mfumo wa kutawala nchi hii chini ya CCM...
  13. E. J. Magarinza

    CAG aipa CCM hati ya mashaka ukauzi wa matumizi ya fedha

    Umeambiwa ni hati ya mashaka (Qualified Opinion) dada Amina, soma vizuri.
  14. E. J. Magarinza

    CAG aipa CCM hati ya mashaka ukauzi wa matumizi ya fedha

    [/FONT][/COLOR][/FONT][/COLOR] Hii sababu naweza kukubaliana nayo kwa sababu viongozi na watendaji wengi wa hivi vyama vyetu vya siasa hawana shule vichwani. [/SIZE] [SIZE=3] Hizi sababu zilizotolewa hapa naona kama haziihusu CCM kwani hiki ni chama kongwe na naamini kiko well established...
  15. E. J. Magarinza

    Mkutano wa wenje leo mwanza ilikuwa hivi (picha)

    Picha zote ni baada ya mkutano. Hawa ni wananchi wa jiji la Mwanza wakimsindikiza mbunge wao Wenje kwa maandamano makubwa katikati ya jiji baada ya mkutano. Mheshimiwa Wenje kaongea mambo mengi ya msingi ila nililolipenda mimi kama mkazi wa Nyamagana jijini Mwanza ni hii kauli ya Wenje, nanukuu...
Back
Top Bottom