ANDROID LOVERS TUKUTANE HAPA
Wazee wa kazi niaje, nimekutana leo na hii program aseee kiukwelii nimeshangaaa sana.
Hii ni software ambayo kazi yake kubwa ni kumanage IMEI namba, modify, hata ku sign new katika smartphone zetu. Lakini sasa kwa sisi ambao sio mafundi hii software ni muhimu kama...
Wewe mama , kama mtumiaji mbna unaziponda , xiaomi ni best kwenye mid range .
Kama wewe ni mwanaume utakubali . Over
Sent using Jamii Forums mobile app
Niaje. Kwa wale wapenzi wa Infinix na simu za masafa yaani ikijaa imejaa kwa masaa kutokana na matumizi. Nauza Infinix Hot 6x.
Specifications:
Infinix Hot 6x
Internal 32gb
Ram 3Gb
Battery 4000mAh
Performance (chipset) Snapdragon 425
Cost/bei ni 300000 tu
Negotiation karibu
Nipo Dar & Kibaha
Okay mimi nilikuwa nafanya hivi, naedit kwenye simu na kinemaster kisha na export kwenye output yenye high standard and quality mfano QHD then natumia Vivavideo Pro kucompress. Vivavideo ina compressor nzuri sana na utashangaaa ukijaribu. Ingiza ile video yako ulioexport na kinemaster kisha...
Ushauri tu kwa watakaotumia kama una video kubwa na una PC ndogo utaihurumia PC yako mimi yangu ilikuwa feni inalia kama machine ya kusaga. Kama una video kubwa sana tafuta PC nzuri.
Wakuu mambo vipi.
Leo nimekutana na hii software inaitwa jen-free video compressor.
Hii ni software ambayo hupunguza size au ukubwa wa video bila kupoteza quality. Kiukweli suala la MB hasa kwenye ku-upload video kwa sisi Youtubers ni tatizo.
Unakuta ume edit na ku export video yako vizuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.