GSM IMEI solutions for Windows now available for free. Wezi wa simu mjiandae

DX2018

Member
Nov 24, 2018
55
45
ANDROID LOVERS TUKUTANE HAPA

Wazee wa kazi niaje, nimekutana leo na hii program aseee kiukwelii nimeshangaaa sana.

Hii ni software ambayo kazi yake kubwa ni kumanage IMEI namba, modify, hata ku sign new katika smartphone zetu. Lakini sasa kwa sisi ambao sio mafundi hii software ni muhimu kama ukitaka kuweka ulinzi kwenye simu yako kwasababu:

1. Ina track imei zote ambazo umewahi sign nazo kwenye hiii software kitu ambacho ni muhimu sana kama unataka kuwekea ulinzi wa simu yako ya mkononi.

2. Haihitaji malipo trial version (cloud space) unapewa 5 months na ikiisha unaweza register na email ingine .

Hizi ndo features kubwa ambazo nimeziona muhimu kwangu, bado naendelea kuichunguza

Unaweza pakua hapa na ukaleta mrejeshoo PAKUA HAPA

Kama kuna nyingine zaidi tusaidiane wazee, kama unaijua ambayo ni best zaidi ya hii hapa tusiwe wachoyo unaweza share.

Repair-Android.jpg
 
Back
Top Bottom