Vp xiaomi redmi note 8/redmi note 8 ya gb64 na ram gb4 nitaipata kwa bei gani?
Note 10 bei gani mkuu?
Na Mimi naihitaji Xiomi redme note 10,ukiipata tupia hapa na bei ,nasubscribe kabisa.Hizo badoo sijaaaanza kaka , ila kuanzia next week mambo safi maana nilikuwa na ka mtaji kadogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Note 10 inaendaje?Hizo badoo sijaaaanza kaka , ila kuanzia next week mambo safi maana nilikuwa na ka mtaji kadogo
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu kama laptop bei gan unaletaUlikuwa unahitaji nn cuz naweza nikakufanyia mpango very easy kama kipo
Hizo badoo sijaaaanza kaka , ila kuanzia next week mambo safi maana nilikuwa na ka mtaji kadogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikusema pro bana,nataka note 8, 6gb/128gb.Dah jf walinipa ban ndo maana nikashindwa jibu not 8 pro 780 kaka 128gb
Sent using Jamii Forums mobile app
Naweza pataDah jf walinipa ban ndo maana nikashindwa jibu not 8 pro 780 kaka 128gb
Sent using Jamii Forums mobile app
nataka iyo pia but Chinese version budjet yake ngapSikusema pro bana,nataka note 8, 6gb/128gb.
sasa chinese.version zina shida ganNitafutie redm note 7 Tanzania kwa hiyo bei, labda kuna kitu kingine unatoa hehehee redm note 7 global Tanzania bila ya 610 huchomoi jidanganye utauziwa China version