Salamu Wakuu, Habari za weekend.
Nina plan ya kuanza mazoezi kwa ajili ya kuimarisha Afya, huu mwili naona siuelewi, nahitaji kuuweka sawa hasa kuimarisha misuli ya viungo.
Nataka niwe na ka bike cha kimtindo cha kufanyia mazoezi kwa kurid huko barabarani badala ya kufuata bike za gym ambazo...
Bado sijaona ulazima wa kukopa kwa sasa, labda siku za usoni na siombei hilo litokee sababu mikopo inaumiza kwa muda mwingine kwa mtu ambaye hajainuka kiuchumi.
Kuna uzi wake humu ebu nenda kaangalie wanavyojadili huko.
Hata hivyo, AC Milan ilikuwa ya akina Kaka, Gattuso, Ronaldinho, Seedorf, Maldini, Inzaghi, Pirlo, Ambrosini, Cafu, Gilardino, Shevchenko, Dida.
Ila ya sasa imepoa sana
Nakubaliana na wazo lako la kutoa kuwa muumini wa nyumba kubwa, ila hili wazo lako naona linawafaa zaidi watu ambao tayari wana familia zilizosimama na wala si yule anayeanza au yuko mwanzo wa kujenga Familia.
Kuanzia sasa hadi mtoto wa kwanza aje aanze kujitegemea itapita miaka 25, sasa wakati...
Wazo lako ni zuri sana mkuu.
Lakini kwa mtu ambaye ndio familia bado ni changa, yaani watoto bado wadogo na unaendelea kuzaa. Hapo hadi waje kuanza kuondoka wakajitegemee tukadirie ni kuanzia umri wa miaka 25.
Hivyo kwa kipindi cha miaka 25 watakuwa nyumbani na inatakiwa pawe na nafasi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.