Recent content by Dwellerman

  1. D

    Tixon Nzunda ni nani na amewafanya nini TAMISEMI?

    Wangeniuliza swali nitaje viongoz nao wajua wenye uwezo na vision ya kuendana na uncle Magu nisingeacha kumtaja Mr. Tixon Nzunda, he is a good leader.
  2. D

    Kuhusu National Ranching Company ltd NARCO

    Mimi sijui kitu, kumbe una waajua vyema Mbona utakuwa kama unanikejer HIV we VIP?!
  3. D

    Kuhusu National Ranching Company ltd NARCO

    Nilijua walishakuita maana ulienda uliziaa kabisa Hao kawaida yao kuchelewa hata mwaka Jana hivohivo kwani kuna aliyeitwa?
  4. D

    NARCO vipi mbona kimya

    Hawa kawaida yao kuchelewa kwa kuna aliyeitwa?
  5. D

    Fursa ya mafunzo kukuza ujuzi kwa njia ya uanagenzi(apprentice), Kwa hatua hii vijana tutanufaika sana tuwahi fursa

    Poa ndugu zanguni tuendelee kupeana updates humu ndani in case kuna atakayepata mrejesho kwa kinachoendelea
  6. D

    Kuna mambo yametokea kwenye usaili wa BRELA ya kushangaza. Je, hii ni kweli?

    yaa kalamba Shavu BRELA Record Management Assistant ll, ko pambana na hali yako kijana that is reality. Kuna mashamba huku jmn tujiajir kwenye kulima mamboga mboga
  7. D

    Kuhusu National Ranching Company ltd NARCO

    Bad Bado jmn nimeuliza huko
  8. D

    NARCO vipi mbona kimya

    Me nimeenda adi Ofisini kwao Nane Zunguni kuuliza kulikoni mbona hatuitwi kwenye inter wakadai bado bado ko tuendelee kupeana update humu JF.
  9. D

    Kuhusu National Ranching Company ltd NARCO

    Kama ni hivo kuna haja gani ya kuweka tangazo public kama ni hivo basi wawe wanamalizana kimya kimya
  10. D

    Kuhusu National Ranching Company ltd NARCO

    Mambo VIP ndugu zanguni? Kwa yeyote aliyewahi Fanya usaili wa Narco hawa jamaa huwa inachukua muda gani Ku shortlist maana tangu watoe tangazo lao la kazi now almost Two months ni kimya tu.
Back
Top Bottom