Recent content by DUXO

  1. D

    JamiiForums Tanzania Said Arfi - Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA ajiuzulu rasmi!

    Mzee alijiuzulu kubadili upepo wa habair usimharibie zitto siku inayofuata baada ya kuvuliwa uongozi. Matokeo yake, amekwama kabisa.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Muasisi awashukia 'wabaya' wa CHADEMA

    Mtalia sana, mtakodi watu wa kuchoma bendera na mtawakodi waandishi wa kurusha matangazo lakini mwishowe ni hola tu. Hakuna njia ya mkato.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Mnyika kuwa Naibu Kiongozi wa Upinzani Bungeni?

    1000% ok. Great Mnyika, the guy is very smart.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Yanayoitwa maandamano ya Zitto Mwandiga: Hayakuwa na BARAKA za wanachama

    Ni wasaliti wa chadema
  5. D

    JamiiForums Tanzania Wanachama 12 wa CHADEMA Mbeya Mjini kutimuliwa leo

    Heri wachache wa ukweli kuliko wahaini
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kauli ya waziri Lukuvi baada ya kuzomewa Bungeni, inaonesha anajua wauza unga, atutajie vinginevyo..

    mkuu kati kati, Inaonekana wewe umekunywa maji ya ccm, japo kuwa sina chama, hoja yake hii ni ya kijinga sana. ngoja nikusaidie. JF kwa siku inasomwa na watu zaidi ya laki 3, wakati gazeti linalotoa copy nyingi la mwananchi wanatoa copy 50 hadi 60 elfu tu. Kwa hiyo, mtu anayeleta taarifa za...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Baada ya siri ya Mwigulu Nchemba kulalamikia CCM kumwachia zigo la Lwakatare kuvuja,Nawashauri CCM

    Unatuletea mada nzuri sana, lakini angalia nyendo zako, wasije wakakutoa meno bila ganzi.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa CCM, Abdallah Mtutura akutwa na kashfa ya ujangili wa meno ya tembo kama Kinana

    Hii ni aibu ya ccm. CCM wanaaibisha sana nchi hii.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Mapapa 560 wa Madawa ya Kulevya watajwa. Wamo Morine Amatus Liyumba na mdogo wa Rostam Aziz

    Endeleeni kuchungulia tu. There are currently 3007 users browsing this thread. (101 members and 2906 guests)
  10. D

    JamiiForums Tanzania Siri za Mwigulu Nchemba kutengeneza kesi feki dhidi ya Dr Kitila Mkumbo na Mwita M. waitara zavuja

    Kweli Aweda ni kiboko ya Mwigulu.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Mapapa 560 wa Madawa ya Kulevya watajwa. Wamo Morine Amatus Liyumba na mdogo wa Rostam Aziz

    Wewe una point, kwa sababu, tusipoweka sheria vizuri hawa wahariri wa jamhuri na Aweda wanaweza wakapata matatizo pia.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Mapapa 560 wa Madawa ya Kulevya watajwa. Wamo Morine Amatus Liyumba na mdogo wa Rostam Aziz

    Huyu Nyambafu katoka wapi? Wewe unataka tuwajadili waugaibuni na hawa wengine tunawaacha tu waendelee kuuza? Mbona Rostam ambaye mdogo wake anauza na yeye yuko ugaibuni. Wewe lazima unauza unga kama siyo una undugu na wauza unga.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Mapapa 560 wa Madawa ya Kulevya watajwa. Wamo Morine Amatus Liyumba na mdogo wa Rostam Aziz

    There are currently 1835 users browsing this thread. (88 members and 1747 guests) Mbona wachungualiaji wengi, mnahofu nini?
Back
Top Bottom