Recent content by Duwexd

  1. D

    JamiiForums Tanzania Polisi wasema wivu wa mapenzi chanzo mauaji ya watu 7 wa familia moja Kigoma

    Hana akili sasa kafanya nini si bora angejiua na yeye, mijanamke ipo kibao uswahilini si angeachana nae na kujitafutia mwingine. Mijitu ya bara haina hekima, ustarabu wala busara
  2. D

    JamiiForums Tanzania Wanawake ni usawa gani mnaoutaka?

    Hawa utumiwaga na mashetani hili kuaribu taratibu za MUNGU alizozipanga hapa duniani
  3. D

    JamiiForums Tanzania TANESCO wanachotufanyia sasa hivi tutamkumbuka Magufuli, wakazi wa Keko siku ya 3 hakuna umeme

    Si mlimchukia Magufuli na bado tutamkumbuka sana Rais aliyewahi kutokea Tanzania na Afrika nzima. Sasa hivi hii nchi MUNGU tu atatuvusha uzembe na upigaji umerudi tena. Watanzania tuombe sana yupo mmoja mfia nchi tumuombe MUNGU 2025 apitishwe huyo.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa kuanzia Jumatatu hatakiwi kuonekana machinga yeyote mjini Mwanza

    Hii nchi tayali ipo mikononi mwa mabeberu na wanalindwa, kiukweli sisi masikini hatuna chetu tena , tumesharudi kulekule kwa mkwere, kipindi kile utawala uliwakumbatia sana mafisadi na mabebari waliokua wakiumiza hii n hi, mama ntilie na sisi wamachinga tulipata tabu sana na mamlaka zilizokua...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Hata Manara angekuwa balozi wa Mohammed Enterprises, Mo asingepata faida

    Ndugu umeongea hilo linalokupinga halina linachojua zaidi ya kuwa shabiki wa simba tu mala nyingi mijitu km hio hata umwambie mo anadhulumu haki za wanyonge atakataa atakwambia mo mzuri kisa simba. Mipumbavu sana
  6. D

    JamiiForums Tanzania Leo nimejiunga rasmi na Kanisa la Askofu Gwajima

    Hapo sasa
  7. D

    JamiiForums Tanzania Maana halisi ya "Luxury Bus" ni nini?

    Vikizi vigezo
Back
Top Bottom