Recent content by dutuve2

  1. D

    Tathmini: Hofu ya Zanzibar kumezwa kwenye Muungano yaongezeka kwenye awamu hii ya tano

    Hawana hofu yoyote zaidi ya hofu ya kupungua ukubwa wa eneo la kuishi kutokana na maji kutaka kumeza hivyo visiwa acha uongo.
  2. D

    Bashir Yakub: Nitayashitaki makampuni manne ya simu

    Haya ndio yanapaswa kuongelewa huku kwa faida ya wote.
  3. D

    Tanzania billionaire Mohammed Dewji told kidnapper to shoot him

    Y Yeye hakwenda pale kutaka kufurahisha watu alienda kueleza tukio lilivyokuwa sasa watu mnataka aeleze mtakayo wakati yeye ndio anayejua tukio lilivyo, msipende kulisha watu maneno.
  4. D

    Kama haya ni maagizo kutoka juu, basi anayetoa maagizo haya katudharau sana watanzania na anaamini anaweza kufanya lolote na tukakaa kimya

    Ache Acheni hizo mnaomba mpigiwe kura kwa za hisani toka kwa wananchi kwa kutoa visingizio. waongo wakubwa nyie nendeni fomu zipo kibao hakuna wa kuwanyima.
  5. D

    Tanzania inaongoza kwa ushirikina sio utalii, hii ni aibu

    Top African countries for Travel & Tourism (WEF Competitiveness Index 2019) Country Score Score Mauritius 4.0 4.0 South Africa 4.0 4.0 Seychelles 3.9 3.9 Morocco 3.9 3.9 Namibia 3.7 3.7 Kenya 3.6 3.6 Tunisia 3.6 3.6 Cape Verde 3.6 3.6 Botswana 3.5 3.5 Tanzania 3.4 3.4
  6. D

    Rais wa India akiwa kavaa gwanda la kijeshi

    Nyumbu bwana hamuishi
  7. D

    Mradi wa Bagamoyo: Hujuma Tanzania na ushindi kwa Kenya na Rwanda

    OPPORTUNIST sana huyu jamaa hasa akiahidiwa 10% , hajali wananchi mchumiatumbo
  8. D

    Mradi wa Bagamoyo: Hujuma Tanzania na ushindi kwa Kenya na Rwanda

    ZZK hebu acha tamaa ya 10% yako ambayo uliitegemea kutoka kwa wachina bali waonee huruma watanzania na kizazi kijacho mbona umekuwa msakatoge mpaka kupitiliza ? Watu mkataba tumeuona unataka kuaminisha watanzania kuwa sie hamnazo. Unataka tutawaliwe na wachina hivi huoni kinachoendelea Zambia na...
  9. D

    Kununua ndege wakati wananchi wanakunywa matope kama maji ni aibu ya Taifa

    Nani alikuambia matatizo ya nchi yanamalizwa kwa muda mfupi kama aliokaa Rais , amini nakuambia mie hii nchi nimetembea sana Rais amejitahidi sana tusimvunje moyo amefanya kazi kubwa japo mnataka mmkwamishe na hamtaweza tupo pamoja naye.
  10. D

    Why many Tanzanians don’t support their President

    Lete data kamili. Nina uhakika asilimia mia kuwa watanzania wengi wanamkubali Rais Magufuli kwa kuangakia mikutano yake inavyojaza
  11. D

    Kununua ndege wakati wananchi wanakunywa matope kama maji ni aibu ya Taifa

    Sijawahi kuona mtu mwenye mawazo ya kizwazwa kama wewe, hivi umezunguka nchi hii miradi ya maji inavyofanyiwa kazi au ndio upo kijiweni Dar unakunywa kahawa na huhadithiana uongo, Hivi sasa nchi inafanyia kazi miradi mikubwa na midogo ya maji vijijini na mijini.
  12. D

    Urusi majigambo tu uchumi mdogo, matumizi makubwa na rushwa nyingi

    Data zako za uongo kabisa za mwaka huu ni kama ifuatavyo:- 1 United States 21.34 trillion 18.62 trillion $64,865 329,064,917 2 China 14.22 trillion 11.22 trillion $9,915 1,433,783,686 3 Japan 5.18 trillion 4.94 trillion $40,802 126,860,301 4 Germany 3.96 trillion 3.48 trillion $47,462...
  13. D

    Chato yazidi 'kujimwambafai', Serikali kujenga Chuo cha VETA kwa TZS 10.7 bilioni. Dr. Kalemani aomba Chuo Kikuu

    Mkoa gani hauna lami unaleta Uongo wako leta taarifa za kweli
  14. D

    Awamu ya tano ndio imeleta chuki na kuvunja Umoja wa Kitaifa kwa Watanzania

    Wewe ni muongo Tanzania haipo hivyo hizo ni porojo zako baada ya kuminywa kwenye biashara za kidhalimu na wizi sasa unasingizia wananchi wote wako hivyo, angalia kwenye misiba , sherehe na kadhalika .ACHA KUCHAMBIA MGOMBA , chapa kazi.
Back
Top Bottom