Recent content by duttu.e

  1. D

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema amuandikia Jakaya Kikwete Waraka Mzito

    Aiseeee
  2. D

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba hawajaumia mechi ya tarehe 15 kusogezwa mbele. Wameumia kuondolewa kazini viongozi wa bodi ya ligi

    Safari walioianzisha tumewasaidia kuimaliza maana wao waliishia njiani
  3. D

    JamiiForums Tanzania Nilivyonusurika kufa: Niliingia na kujinasua katika kundi hatari la uhalifu

    Tuwe wavumilivu, bado yupo hospital anashughulikia matibabu maana alianguka vibaya sana na pikipiki na ule mlio wa risasi ulimuathiri
  4. D

    JamiiForums Tanzania Umbea wa Rais wa Yanga kwa Motsepe umeiponza Yanga

    Mambo Yakiwatofauti hawachelewi kusema Yanga wamechezesha majini😀😀😀
  5. D

    JamiiForums Tanzania UKIMWI upo ndugu zangu

    Vijana wenye ndoto pia wanaambukizwa ukimwi na mishangazi yenye pesa zao kwa kupenda vitonga na wao kuwaambukiza wadada wadogo wenye ndoto zao
  6. D

    JamiiForums Tanzania UKIMWI upo ndugu zangu

    Eti tuwe makini na wadada, hivi hao wadada huwa wanajiambukiza ukimwi wenyewe bila kukutana na wanaume waathirika.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kumbe Yanga ilicheza na timu ya vijana ya CR Belouzdad, mashabiki wanamjia juu kocha kwa kudharau mechi

    Kikosi walichocheza na yanya mwanzo kinatofauti gani na hicho cha jana
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kumbe Yanga ilicheza na timu ya vijana ya CR Belouzdad, mashabiki wanamjia juu kocha kwa kudharau mechi

    Mpaka kesho mje na jambo moja ijulikane maana mnatuchosha , yanga ilitumia uchawi, ilicheza na timu ya watoto, ilibebwa na refa au inaubora.
  9. D

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 1-1 Namungo FC | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 09.11.2023

    Umesahau tusi gani uongeze iliupoze maumivu yanayokusibu😀😀😀😀😀
  10. D

    JamiiForums Tanzania Yanga wako OVERATED, kisa eti kumfunga Simba!! Coastal kathibitisha hivyo jana

    Simba wapo underated kisa kulazimishwa draw na Namungo fc
  11. D

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

    Kwani manula ni mchezaji wa ndanda FC?
  12. D

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri na mawazo nina uoga wakuangalia balance yangu ya hela benki

    Sasa kama unachota tu mpaka ziishe unataka uangalie nini, tafasiri yake kama unachota mpaka zinaisha unabakiza hela ya kutunzia account.
Back
Top Bottom