Recent content by DustBin

  1. DustBin

    Suala la ulaya kujua mipango ya kumuwekea Lissu sumu inaonesha kuna majasusi wao wa siri ndani ya mfumo

    Ujanja wa zamani huu, tulijifunza shule kwenye shule za wakoloni. Uzuri taifa letu lina idara imara...
  2. DustBin

    John Heche: Sisi CHADEMA tunaitaka serikali iwaeleze Watanzania zaidi ya Trilioni 46 zimetumika kufanya nini isiwe ndizo zinanua baiskeli

    Kama hizo baiskeli wanapewa watanzania jambo zuri. Mi nilijua wanakula wenyewe tu.
  3. DustBin

    Kilichompata Msigwa UDOM iwe fundisho Kwa viongozi wanaodharau nguvu ya mitandao

    Unaongelea watanzania gani we jamaa. Take my words, mtaani base kubwa ya vijana hawana mpango na hiyo taka ya no nini no nini. Msijipe moyo, huu ukweli nawapa
  4. DustBin

    Kilichompata Msigwa UDOM iwe fundisho Kwa viongozi wanaodharau nguvu ya mitandao

    Aahahh maelezo kayatoa mtoa mada, mimi nimesherehesha tu
  5. DustBin

    Kilichompata Msigwa UDOM iwe fundisho Kwa viongozi wanaodharau nguvu ya mitandao

    Ukweli unaumiza..., lakini ndio tiba kwa wanaotobangatobanga
  6. DustBin

    Gerson Msigwa: Kinachoendelea mitandaoni kuhusu "No Reforms, No Election" ni UPUUZI

    Komenti itasaidia nini kuongeza kura kwenye uchaguzi?? Hivi bado mna ndoto ya kuzuia uchaguzi? Tatuteni kura wazee baadaye msije kuilalamikia ccm inaiba kura, wakati mpaka sasa hamna mchakato wowote wa kujiandaa
  7. DustBin

    Kilichompata Msigwa UDOM iwe fundisho Kwa viongozi wanaodharau nguvu ya mitandao

    Usitudanganye, kwamba hiyo movement eti imepenya kwenye mioyo ya watu. Suo kweli. Kwanza mioyo sio kiswahili fasaha. Ni hivi, msidanganyike na watu wachache wenye akaunti nyingi huko mtandaoni wakipost hizo kauli na wala sio movement. Kwani hujui movement inavyokua? Au unajizima data? Sisi tupo...
  8. DustBin

    PreGE2025 Kwa mujibu wa taarifa alizopewa Maria Sarungi, ni kwamba watekaji wanamuwinda Askofu Gwajima

    Mission yenu inafahamika kitambo. Mnapanga mumteke wenyewe kisha msingizie serikali inateka watu kwa lengo la kuipaka matope. Njama ya kuwatumia wale waliotoka Kenya imegonga mwamba, sasa mnatafuta njia nyingine. Hamtofanikiwa. Mungu yupo pamoja na watanzania wapenda amani. Pia Mungu yupo pamoja...
  9. DustBin

    PreGE2025 Sheikh Jabir ameuawa Zanzibar BAKWATA kimya! Mnasubiri Maaskofu wakemee mje kuwazodoa?

    Waislamu wana mwongozo, hawaendi tu kwa kichwa mchunga. Waislamu wanajua namna ya kuyaendea mambo kwa kuwa yameelekezwa hayo ktk dini yao. Sio kila lifanyikalo husemwa kwenye vinara, waislamu wanajua njama zinazotumiwa na wasioitakia mema nchi hii.
  10. DustBin

    PreGE2025 Spika Tulia na Bunge lako nani kawaagiza kumpa Tuzo Rais Samia? Mmetoa kwa niaba ya nani kama wananchi hatujawahi kuridhia?

    Itakua hujaielewa dhana ya serikali ya uwakilishi. Wananchi wengi wanamkubali Rais Samia na serikali yake, ndio maana wakawachagua hao wabunge kuwa wawakilishi wao. Sasa nyie wachache msiompenda haiathiri chochote. Au umesahau kama hiyo ndio domokrasia?
  11. DustBin

    Huko twiter (X) Gen Z wamechafua sana hali ya hewa

    Hizo ni kelele za chura tu, by the way hakuna nchi inaongozwa gen z duniani kote
  12. DustBin

    Kwa Ripoti ya Gwajima, Hatuna Waandishi wa habari Tanzania. Hao akina 'Mayalla' ni njaa tu kweli

    Na nyie haters wa serikali ni wàchumia tumbo tu. Mbona kipindi cha Mzee Baba hatukuwasikia kina Gwaji Boi wakitoa matamko..?? Hakuna hoja aloitoa Gwaji Boi zaidi ameona dalili ya kupokonywa jimbo lake sasa anatafuta huruma ya wananchi.
  13. DustBin

    Mashabiki wa Simba kuipokea Simba hakuna neno, ila wafuasi wa Lissu kusikiliza kesi haitakiwi

    Simba hawajatoa kauli yeyote ya kukinukisha, Chadema wana njama ya kukinukisha. Hiyo ndio tofauti mtanzania mwenzangu.
Back
Top Bottom