Sio kila kitu duniani unatakiwa kuhangaika nacho vingine unaacha vikupite unahandle kama Mtu mzima sio kila kitu lazima kureact sasa kusaidia Wazazi wako unapungukiwa nini? nikukumbushe hiyo chuki inayokuwepo kwa mzazi mmoja imetengenezwa na Mzazi Mwenza Mtoto analishwa tu
Si kweli Pac alikuwa na Ushawishi pia gerezani hasa kwa watu weusi Black Panther wengi walikuwa jela Wakati ule Crips pia hivyo hakupata changamoto sana kutoka kwa Wadungwa b
Nitalezea nikifika Vita na East Coast
Si kweli Pac alikuwa na Ushawishi pia gerezani hasa kwa watu weusi Black Panther wengi walikuwa jela Wakati ule Crips pia hivyo hakupata changamoto sana kutoka kwa Wadungwa but Askari
1986: Kuanza Safari Baltimore School of the Arts
Mwaka 1986, maisha yangu yalibadilika ghafla nilipojiunga na Baltimore School of the Arts, shule iliyojulikana kwa kukuza vipaji vya sanaa na ubunifu. Nikiwa na umri wa miaka 16, nilikuja na ndoto kubwa za kuendeleza kipaji changu cha michoro na...
1986: Kuanza Safari Baltimore School of the Arts
Nilikulia katika maisha ya kawaida ya huko Bongo land kabla ya familia yangu kuhamia Marekani kutafuta maisha bora. Mwaka 1986, nilijiunga na Baltimore School of the Arts, shule maarufu iliyojulikana kwa kukuza vipaji vya sanaa. Nikiwa huko...
Yeye kazi yake kukukojoa Na Kukuleta Duniani Pambana usitafute wa Kumlaumu saidia Wazazu kadri uwezavyo Nikukumbushe Mafanikio yapo kwenye nyayo ya Mzazi
Mtoto wako kusoma English Medium anajiweka karibu na Connections hata ma classmates wake Wanakuwa na asilimia kubwa kufika sehemu flan tofauti na kayumba Mnaanza 100 Watafukuzwa 20 Wataacha 10 zero 50 div 3 zipo 10 div 2 zipo 6 div 1 4 kuna nini hapo? Acha ubahili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.