Kwa nini useme ni washamba tuanzie hapo, kuhusu kujenga miundo mbinu ya Barabara ni kazi ya wana inchi au serikali? Una sema mji una Nuka ni kweli, huko kwenu Dara hapa nuki? Acha uboya mshamba mk
Kuhusu Kodi ni wajibu wetu kulipa, maana hata huko mambele wana lipa sana tu, tatizo la inchi yetu tuna kamliwa hasa lakini c.a.g akitoka report yake haifanyiwi kazi, ni Bora hata hicho kitengo kiondolewe maana sioni umuhimu wake kabisa.
Aiseeee wewe acha nipo huko kwenye madini kuna jamaa ana prant 30 na makongorosi anazo 30 na nime Kuta sehemu ana Jenga maabara ya kupima kiwango cha madini kwenye madini na miamba nilichoka kabisa kabisa.
Wewe ndiyo mjinga wa kiwango cha lami, ulitakiwa umuelekeze kirafiki sio kama ulivyo fanya, usi mzarau mtu kabisa hata siku moja una weza kupata shida huyo huyo jirani yako aka kusaidia pia hujui yeye ana nini.
Kwanza huyo dada ni tapeli sana, kuna mwaka wa nyuma ali umbuka, wakati ana muombea dada frani hivi, ali sikika aki mwambia muo mbewaji piga kelele, kweli yule dada waku ombewa akapiga kelele nime sahau tu mwaka, kama kuna mtu ana kumbuka aje aseme.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.