Ningerestructure taasisi zote za maji ziwe chini ya taasisi moja. Miradi yote ya maji iwe centralised ili iwe rahisi kua na national water grid kama ilivyo kwa umeme
Kwa ninanyojua mkuu hapo alitakiwa awe dismised kwa utoro kazini na sheria za kazi zipo wazi.
Ila kama mlikua hamjampa mkataba wa kazi na alikua anajitolea bado alikua na grounds za kuondoka.
Kwa namba 11 kidogo kuna changamoto mkuu. Angekuambia anaenda kwenye interview Dodoma either ungemfukuza, kumzuia asiende. Japo alivyopata alipaswa akuambie kwamba amepata kazi kwengine. Changamoto nyingine unaweza kuta alipopaswa kwenda alihitajika asap ikabidi asiachie fursa
Inawezekana you met a guy "nice guy". Who you wanted to get alot from in terms of attention and the like, a sacrifice kwaajili yako including financially ila akawa na priorities zilizokufanya uone anakua influenced na wazazi wake. Maybe you thought sex would do the trick akusikilize ila mwisho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.