Naamka asubuhi na mapema nikiwa na njaa. Nachemsha chai nakumbuka kitafunwa sina. Natoka barabarani namwona mama muuza mihogo.
"Niuzie ya mia tano!"
"Subiri kidogo, ndiyo kwanza nimeiweka motoni."
Naamua kuketi juu ya jiwe kuisubiria.
Moshi mseto wa vifuu na kuni za kuokoteza, unasambaa...
Mzee Vuvuzela alikuwa maarufu sana kwa tabiri zake. Alikuwa kama kenge aliyebarikiwa uwezo wa kunusa hatari kabla haijamfikia.
Aliwahi kutabiri kwa usahihi kuhusu uvamizi wa nzige, na akatoa mbinu madhubuti za kuwadhibiti. Watu walifuata ushauri wake, wakapuliza unga wa majivu, wakapanda mazao...
Nchi Haina sheria? Mahakama ni ya kazi gani kama Kila anayekuudhi unamuua? Unaongeleaje mzee kibao? Soka? Dogo alichoma picha ya rais?
Utawala wa sheria umekoma rasmi?
Nachoka kuwaza. Sasa nimeanza kuona giza… giza nene. Sio la usiku. Hapana. Ni giza la maisha. Giza la matumaini yaliyooza kabla hayajachanua. Giza la haki iliyonyongwa hadharani huku waliopaswa kulia wakishangilia.
Moyo wangu huwaka moto wa huzuni kila ninapotazama mwenendo wa siasa zetu. Moto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.