Recent content by dumejike

  1. D

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kwenye usaili Ardhi University

    hahaaa! wewe kweli upo kila sehemu
  2. D

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Dangote Industries Limited Tanzania

    Usiwalaumu ndio mana wakatangaza post za ma HR
  3. D

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Dangote Industries Limited Tanzania

    Appointment letter uliyopewa wakati unaanza kazi ,ukianza kazi unapewa appointment letter na mkataba
  4. D

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Dangote Industries Limited Tanzania

    Siku hizi experience muhimu duu ngoja na mie niongeze experience katika kazi yangu
  5. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kiwango cha mshahara wa graduate kwa Swissport

    Duu mara ya kwanza nilivoona tangazo lao la kaz nilijua wanalipa vizuri..enewei ngoja waje wanaojua mishahara yao
  6. D

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi Iringa mjini-haraka!

    Wakati watu walishakula shavu mda tu
  7. D

    JamiiForums Tanzania Vacancies- UDSM

    Ifm ndio lakini hao cbe si walitangaza kaz septemba mwaka huu na maombi unatuma kwa rector wa cbe wala hawakupitia utumish labda za huko nyuma Yes kiac flan kutoa majina ni vizur ,ila vyuo vingi wakiajiri wenyewe hawatoi majina wanapiga simu au msg
  8. D

    JamiiForums Tanzania Vacancies- UDSM

    Nasikia wanapiga simu hawatoi majina watu wakayaona
  9. D

    JamiiForums Tanzania Msaada, mafao ya mfanyakazi baada ya kuacha kazi

    Wiki mbili mbona chache watu wanakaa mwez lknInategemea na sababu zingine zinazozuia hio barua isitoke utakuta sehem nyingine kama serikalin its a long process ivo inabd usubiri ,barua ya kuchukua mafao inatakiwa itoke immediately baada ya barua ya kukurelease unazani watu wanaendaga...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Unaifahamu Pact Tanzania?

    Soon atabadilika wametangaza kaz ya hr
  11. D

    JamiiForums Tanzania Mgao wa umeme mikoa mbalimbali

    Habarini humu ndani,kwakweli tanesco mkoani morogoro mjini mnakera sana wananchi ,mnakata umeme asubuhi mnarudisha saa 6 usiku alaf ikifika saa 12 asbh mnakata tena . mnarudisha tukiwa tumelala unatusaidia nini sasa,leo jmoc weekend mmeukata mapema sa 12 asubuh na wakati jana sa 6 usiku ndio...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Academic posts Mzumbe University

    Anakudanganya wala sio kweli
  13. D

    JamiiForums Tanzania Ardhi university yajichanganya utaratibu wa ajira zake

    Mag inbd akomeshe udugulization tumeuchoka karibia vyuo vyote ajira zao hazieleweki elewek
  14. D

    JamiiForums Tanzania walioitwa oral interview muhimbili tujuzane!

    Mnaandika majina tena na sio namba mbona wana mambo ya kizamani hivo hao waige sekretariet ni mwendo wa namba hata akiwa anamark paper hajui ni nani inaepusha kujuana kwa kiac flan
  15. D

    JamiiForums Tanzania Customer Service Representative-Salary

    Bora ungeapply za startimes mwezi uliopita walivotangaza wale haupitii kwa agent lkn hao NFT jiandae kugawana nao mshahara
Back
Top Bottom